Nilitamani kuuliza we mzee unaandika nini?
But Maswali manne yaliyobaki wote walitabasamu tena.
Muda natoka nikakutana na yule b mkubwa alikua anaita candidates akaniambia hujaniangusha
Vipi walichukua 8 kamili au walizidi, tupe experienceNafasi 8 candidates 25
Kumbe unaweza jibu vibaya na unapatauoga wenu tu,sio kila anaeingia oral anakua yuko vizuri kichwani
Nilivyoanza interview na nilivyomaliza ni Kama watu wawili tofauti.sijawahi kutana na panel inatabasamu labda ndo mana siitwi hehehhehee
Tumeitwa watu 8 pekeeVipi walichukua 8 kamili au walizidi, tupe experience
Sisi wengine tulikuwa tunaharakishwa hawana muda wa kupoteza, Yani unajiintroduce kidogo tu wanakwambia tayari, kwenye maswali ni mwendo wa chap chap tuNilivyoanza interview na nilivyomaliza ni Kama watu wawili tofauti.
Nilianza kwa hofu then swali la pili hadi la mwisho nikajibu short and clear na confidence ya Hali ya juu.
Panelists walitoa lile tabasamu la like how?? yani ni kama watu ambao walikua wanatamani kunijua zaidi.
Nadhani utumishi hawahitaji mbwembwe nyingi, swali la ku mention una mention tena short and clear mnasonga mbele, swali la kujieleza elezea Core point tu, baadae subiri pdf.Sisi wengine tulikuwa tunaharakishwa hawana muda wa kupoteza, Yani unajiintroduce kidogo tu wanakwambia tayari, kwenye maswali ni mwendo wa chap chap tu
😂😂😂Dah natamani na mimi ningekuwa nasubiri pdf kwa shauku ila oral ya April nilizingua vibaya mno mle ndani nahisi panelists walinicheka sanaa nilivyotoka😁😁😁
Check inbox mkuu,nimekutumia ujumbeNadhani utumishi hawahitaji mbwembwe nyingi, swali la ku mention una mention tena short and clear mnasonga mbele, swali la kujieleza elezea Core point tu, baadae subiri pdf.
Nashindwa kureply sijajua changamoto nini? Au nibadili browserCheck inbox mkuu,nimekutumia ujumbe
jitahidi kati ya maswali matano ujibu matatu vizuriKumbe unaweza jibu vibaya na unapata
Upo sahihi mkuu🫳🏿jitahidi kati ya maswali matano ujibu matatu vizuri
Jaribu kuwa kama wewe ndio unaanza kunitumia textNashindwa kureply sijajua changamoto nini? Au nibadili browser
Sawa mbona wengine wanajibu yote vizuri na hawapati au ni bahati tujitahidi kati ya maswali matano ujibu matatu vizuri
Utumishi wanazingatia vitu vingi sana mfano mavazi me nahisi na kiatu (foengo) niliyovaa ile siku nilionewa huruma Pia,Sawa mbona wengine wanajibu yote vizuri na hawapati au ni bahati tu
Hamna shida kakaJaribu kuwa kama wewe ndio unaanza kunitumia text
kwakweli mimi nadhani na bahati ina mchango wakeSawa mbona wengine wanajibu yote vizuri na hawapati au ni bahati tu
Kiongoz ww hizo pdf unaziona mwenyewe nini coz jana umeleta habari hizo lakin hola acha hizo.Kama mpaka sahivi hujaona barua,basi pdf ya Leo haikuhusu, tukutane kesho
Ndio kiongozi, Yani ukiona mpaka sahivi kwenye akaunti yako hamna barua,jua Leo pdf hamna, na hata ikitoka wewe haikuhusu ya Leo, kwasababu wanasema barua inatangulia kabla ya pdf kutokaKiongoz ww hizo pdf unaziona mwenyewe nini coz jana umeleta habari hizo lakin hola acha hizo.
marks hazitoki kwenye kujibu vizuri tu mzee wangu,wanaangalia confidence,mavazi uliyovaa,mwonekano(unadhifu),namna ya uwasilishaji wa mada,uelewa wa kazi unayoenda kuifanya (kupitia maswali watakayokuuliza).mfano kuna mtu namfahamu aliulizwa what are the factors to consider while working as an Accounts officer ii at .........(jina la taasisi)?akaambiwa ataje five points, yeye kaanza kuelezea job descriptions wakati hilo swali lilikua linataka uelezee zile core values of public servants,yule jamaa mpaka leo hajaitwa kazini na ni mwaka wa pili sasa, ila yeye alikomaa kuwa hilo swali kalipata kwa namna alivyolijibu.Sawa mbona wengine wanajibu yote vizuri na hawapati au ni bahati tu