El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
tuliozingua tupo wengi tu mkuu mie nililijibu swali la introduce yourself tu lakini nasubiria placement ya mungu mengi.tusubilie kukandwa.. 🤣 🤣Dah natamani na mimi ningekuwa nasubiri pdf kwa shauku ila oral ya April nilizingua vibaya mno mle ndani nahisi panelists walinicheka sanaa nilivyotoka😁😁😁
Mm oral yangu ya kwanza kabisa 2021, mwenyekiti wa panel alikuwa anatingisha kichwa kumaanisha anakubaliana Na mm nachoongea wakati mm mhusika nayeongea hata sikuwa najua naongea niniUsiwaze mkuu😃
Mimi lile swali la utambulisho nilikumbuka tu jina langu, nikakwama kama sec 50 hivi nikaona panelists wameinama wote wanaandika, nikajiuliza Hawa wazee wanaandika nini wakati mimi siongei
BUT GOD IS GOOD 🙏
Kitu kingine sisi watahiniwa tunachozngua n kuona kujieleza Sana ndo kujuaSisi wengine tulikuwa tunaharakishwa hawana muda wa kupoteza, Yani unajiintroduce kidogo tu wanakwambia tayari, kwenye maswali ni mwendo wa chap chap tu
Nazani ni vitu vinavyofanya ushindwe kufanya kazi zako kwa ustadiWakuu hivi ukiambiwa utaje challange za kazini kwako unatakiwa utaje vitu gani
Taasisi za umma 2 ndo wanafanya mambo Takmisemi naona bado wanajipangaKuna PDF uko leteni shuhuda..💥💥
Okey sawa kakaNazani ni vitu vinavyofanya ushindwe kufanya kazi zako kwa ustadi
Taasisi gani ndugu?Taasisi niliyofanyia usaili mwezi uliopita wametoa majina na mm sipo, sijashangaa wala haijaniuma mana n kweli nilizingua mno kwenye oral
Sasa kaka unajuaje kuwa umezingua kaka. Hukupata hata maswali mawili??Taasisi niliyofanyia usaili mwezi uliopita wametoa majina na mm sipo, sijashangaa wala haijaniuma mana n kweli nilizingua mno kwenye oral
Pdf leo la maajabu, kuna taasisi hapo tuliofanya oral hamna aliyeitwa hata mmoja, waliotwa hatujafanya nao oralKuna PDF uko leteni shuhuda..💥💥
Umejuaje mkuu??Pdf leo la maajabu, kuna taasisi hapo tuliofanya oral hamna aliyeitwa hata mmoja, waliotwa hatujafanya nao oral
Kabla hatujaanza usaili tuliunda group kwa ajili ya kupeana update, imetumwa pdf kwenye group hmn hata mmojaUmejuaje mkuu??
Huu nao ni ushujaa.Ooh hapo sawa, mimi kwakweli siombi tena hata iweje!