HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
tupeni mwongozo wakuu na hilo la challenges namna sahihi ya kujibu
Hilo la challenges,mimi niliulizwa what do you think are the challenges which you will face while working as..........?ndio nikamention sijui corruption,lack of working tools,interferance from politicians,regular changes in regulations and other blah blah
 
Wamechukua wa data base kuna jamaa angu alifanya mwezi wa pili za Mda's ameitwa leo na amepangiwa kwenye taasisi ambayo nilifanya usaili juzi
Basi mtaitwa mkuu yawezekana wana kibali chengine utumishi cha mwaka mpya
 
Nafasi 8 candidates 25
Kaka Taasisi yako tayari huko wameita jiandae mwez huu trh 22 kuingiziwa salary nakuombea uende dar es salaam kwenye lile jengo lefu la posta linapendeza kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…