HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kaka ilikua pepa yangu ya kwanza kufanya ilinigaragaza kwa point nyingi hata ilioyofuata sikuenda kabisa kufanya nilipata 45😄🤣😂
Haahaa pole mkuu aptitudes ni changamoto kwa wengi ni pata potea tu kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…