billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,496
- 1,760
Sure aisee,.sasa huyu anakuja kusema kama ujaona asubuhi ndo basi tena.barua inaweza kuingia muda wowote kuanzia asubuhi saa moja mpaka mwisho wa muda wa kazi ambao ni saa 10.pdf ndo wanaweza kuweka mpaka hata saa 6 usiku....
mambo yameanza kuchangamkakuna pdf uko
hakikamambo yameanza kuchangamka
Hata yangu bado hawajagusa tungoje badae naona kuna pdf lingine litakujaKada yangu haijaguswa tena tusubiri kesho hapo majaliwa.
Mungu ni mwema.
Tusipangiane mambo. Pia nichukue nafasi hii kuwapongeza wale wote walioitwa kwenye hizo nafasi Mungu awatangulien katika majukumu yenu mapya akawape kibari kuwatumikia wananchiAjira portal Silaa kuu ni kulower your expectations as much as you can. Hii itatoa room ya kuconcentrate kwenye mambo mengine ya kujenga uchumi binafsi na kupunguza sonona. Ishu ya kusubiri zaidi ya mwaka au zaidi sii lelemama
kwa nini unachagua sehemu ya kazi au mwenzetu una malengo mengine tofauti na kuwahudumia watanzania ?Hivi wakuu baada ya mtumishi kuithinishwa je anaweza kuhama akipambana?
Kila mtu na malengo yake mkuu. Na hao watanzania wana malengo piakwa nini unachagua sehemu ya kazi au mwenzetu una malengo mengine tofauti na kuwahudumia watanzania ?
Ushaanza kuota mapembe tayari.Kila mtu na malengo yake mkuu. Na hao watanzania wana malengo pia
hapana huwezi kuingia kwenye utumishi wa umma ukiwa na malengo yako.Kila mtu na malengo yake mkuu. Na hao watanzania wana malengo pia
Kada yako ya quality assurance tayali hukoHii account yangu leo imekuaje?
Yani nikiingia nikakaa kidogo naona inajilog out yenyewe..
Kuna mwingine ame experience kitu kama hiki?
Mkuu kuna pisi yangu moja imefanya imeingia kwenye oral ila ndio hatujui chochote. Tizama hii picha then utusaidie hapo amepata au amekosa?Tusipangiane mambo. Pia nichukue nafasi hii kuwapongeza wale wote walioitwa kwenye hizo nafasi Mungu awatangulien katika majukumu yenu mapya akawape kibari kuwatumikia wananchi
Bado kaka endelea kuingia kwenye akaunt utaona barua kama amepata kama hajapata pia hakuna baruaMkuu kuna pisi yangu moja imefanya imeingia kwenye oral ila ndio hatujui chochote. Tizama hii picha then utusaidie hapo amepata au amekosa?
Hapo mwisho baada ya Oral ndio kuna Completed.
hakuna maelezo mengine
View attachment 3619687