Ni pisi yako au unavunga tu ni wewe mkuu?Mkuu kuna pisi yangu moja imefanya imeingia kwenye oral ila ndio hatujui chochote. Tizama hii picha then utusaidie hapo amepata au amekosa?
Hapo mwisho baada ya Oral ndio kuna Completed.
hakuna maelezo mengine
View attachment 3619687
Mkuu kufanya interview hadi kufika oral siyo kigezo cha kupata kazi.na ukishafanya oral status inabadilika inaandika completed yani usaili ushafanyika hiyo subiria matokeo kama umepita utaona pdf na kama hujaona barua kwenye account yako bc hujapita .hivyo neno completed haimaanishi umepata kazi badala yake inaonesha usaili wa hatua hiyo umefanya na umekamilika kwahyo now azidishe maombi na Mungu wake pdf likitoka awemoMkuu kuna pisi yangu moja imefanya imeingia kwenye oral ila ndio hatujui chochote. Tizama hii picha then utusaidie hapo amepata au amekosa?
Hapo mwisho baada ya Oral ndio kuna Completed.
hakuna maelezo mengine
View attachment 3619687
Akaribie kwenye stress za kusubiri pdfMkuu kuna pisi yangu moja imefanya imeingia kwenye oral ila ndio hatujui chochote. Tizama hii picha then utusaidie hapo amepata au amekosa?
Hapo mwisho baada ya Oral ndio kuna Completed.
hakuna maelezo mengine
View attachment 3619687
Mkuu umri wangu wa kuajiriwa na serikali ulishafika kikomo tokea mwaka 2023.Ni pisi yako au unavunga tu ni wewe mkuu?
Iambie iendelee kusubiri wakati wa bwana.
Hakuna shida ngoja niendelee kuhudumiaAkaribie kwenye stress za kusubiri pdf
Asante kwa maelezo mazuri.Mkuu kufanya interview hadi kufika oral siyo kigezo cha kupata kazi.na ukishafanya oral status inabadilika inaandika completed yani usaili ushafanyika hiyo subiria matokeo kama umepita utaona pdf na kama hujaona barua kwenye account yako bc hujapita .hivyo neno completed haimaanishi umepata kazi badala yake inaonesha usaili wa hatua hiyo umefanya na umekamilika kwahyo now azidishe maombi na Mungu wake pdf likitoka awemo
Sawa, alinionyesha hivi. Halafu katika kugoogle google maana ya hicho kitu kutoka ajira utumishi wa umma ikanileta huku jf ambapo mimi ni member! Jana nilisoma sana comment za huu uzi, na asanteni kwa maelezo, yeye aendelee na kujitolea.Bado kaka endelea kuingia kwenye akaunt utaona barua kama amepata kama hajapata pia hakuna barua
Hongera sana Ukawe Mtumishi MwemaFamilia yangu ya kutafuta tobo la.asali kupitia Utumishi.Hatimae leo nime lamba asali.Mungu aliyenipa mimi atawapa nanyi .Msikate tamaa....
Vipi barua iliwekwa kabla au muda ule asubuhi pdf inatoka ππFamilia yangu ya kutafuta tobo la.asali kupitia Utumishi.Hatimae leo nime lamba asali.Mungu aliyenipa mimi atawapa nanyi .Msikate tamaa....
Kuna mtu wangu wa karibu kalamba asali leo mkuu..Pdf laleo vipi?
Leteni shuhuda mliopata, tufarijiane
Oya mzee wa kazi Imani yangu inaniambia Kuna siku lazima ukute jina lako kwenye placement...!Katika mwaka niliofanya usaili ni mwaka huu saili nying zaid ya 8 lkn sijakata tamaa hopes one day mambo yatajipa koz ushindan ni mkubwa mm huwa nahudhuria wakati mwingine ntaenda kushindana
Amen ndugu yangu.Hongera sana Ukawe Mtumishi Mwema
Mungu akuongoze katika safari yako mpya
Wala formula yako ya kusema sijui asubuhi, ile pdf linapandishwa tuu na mimi huku ndo nikaona placement letter.Vipi barua iliwekwa kabla au muda ule asubuhi pdf inatoka ππ
Braza meseji yako nimesoma mara 10 nimekuelewa sana na nimefurah sana kuona nakuwa appreciated sometimes but naamini hata mm nitapata ni swala la Muda tu ukifika basi sitatumia nguvu sanaOya mzee wa kazi Imani yangu inaniambia Kuna siku lazima ukute jina lako kwenye placement...!
Miongoni mwa watu wachache wenye mentality za kiume nawewe umo, kitendo cha kufahamu kuwa hizi kazi zinapambaniwa na zina unshindani basi lazima ujue kuwa sio lazima kupata wewe ila unaheshimu mwingine aliepata
Kuna kasumba ya hovyo ya vijana wengi wanao omba kazi, wanahisi kama vile wao ndio wanastahili kupata na sio wengine, ukifikiria kwa Akili hizi ni ubinafsi wa hali ya juu na kukosea heshima wapambanaji wengine ambao unakutana nao war zone, kwenye hizi interview tunakutana na watu ambao walijiandaa kweli kweli kuliko vile watu tunavyofikiria
Mfumo ni ule ule ni kuhakikisha unakuwa competent katika field yako kuliko wengine kisha kila kazi inayotoka na unaona unafit lazima uombe,ukipata nafasi ya kuitwa interview pambana unavoweza uingie Oral huo ndio mwanzo wa kupata kazi, nimesoma comments zako nyingi na nimeona uko na very strong mindset ya kuweza kukufanya upate Ajira ispokuwa umekosa bahati you
Anyway, Mimi nilipata kazi 2023 kwa interview yangu ya kwanza tu nilipofanikiwa kuingia Oral, kwa sababu sometimes inatokeaga tu pale ambapo Nature inaamua kukubles, ila haina maana kwamba Mimi/sisi Huwa tuna Akili sana, ispokuwa Maandalizi mazuri yalikutana na Bahati.....! All the best champ.
Hongera sana mkuu Mungu akutangulie kwenye majukumu yako mapyaWala formula yako ya kusema sijui asubuhi, ile pdf linapandishwa tuu na mimi huku ndo nikaona placement letter.
Wala formula yako ya kusema sijui asubuhi, n ile pdf linapandishwa tuu na mimi huku ndo nikaona placement letter.Vipi barua iliwekwa kabla au muda ule asubuhi pdf inatoka ππ
Asante sana ndugu, tupo pamoja.Hongera sana mkuu Mungu akutangulie kwenye majukumu yako mapya
dah ongera sana mkuu mungu akutakulie katika majukumu yako mapyaFamilia yangu ya kutafuta tobo la.asali kupitia Utumishi.Hatimae leo nime lamba asali.Mungu aliyenipa mimi atawapa nanyi .Msikate tamaa....
Kada gani mkuu, ulifanya usaili linFamilia yangu ya kutafuta tobo la.asali kupitia Utumishi.Hatimae leo nime lamba asali.Mungu aliyenipa mimi atawapa nanyi .Msikate tamaa....