HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
naomba kuuliza wana JF mimi account yangu ya ajira portal ili collapse kwa maana kwamba siwez kulog in siwezi kufanya chochote.
Kabla ya hilo tatizo nilifanya oral interview ya kazi fulani, sasa naomba kuuliza je,? ikitokea nimepangiwa kituo cha kazi naweza kuipataje barua maana siwezi kuingia kwenye akaunti yangu.
Je? kuna uwezekano nkishapangiwa kituo nkaenda Dodoma kwenye ofisi za utumishi nkapewa barua?
Msaada wenu ndugu zangu
 
Ndio ukienda pale tambukareli watakupa barua yako. Lengo la kuweka barua kwenye acc yako lilikuwa kukuondolea usumbufu wa kufunga safari hadi Dodoma pasipo na sababu za msingi.
 
Ndio ukienda pale tambukareli watakupa barua yako. Lengo la kuweka barua kwenye acc yako lilikuwa kukuondolea usumbufu wa kufunga safari hadi Dodoma pasipo na sababu za msingi.
nashukuru kwa majibu yako naomba usichoke kunielekeza.
Je?, utumishi hawana ofisi huku mikoani tofauti na Dodoma?
 
Wapigie simu wakuwekee sawa acc yako, simple!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…