Nilipita jana,nikajaribu kuwauliza baadhi ya maswali kama vile nikitaka kujua kuwa niko database ntajuaje,wakanijibu wako mbioni kuanza kuwa wanatoa marks za oral public,na pia wako katika mchakato wa kurekebisha mifumo yao ili pale mtu anapofanya oral akafaulu mfumo uwe unamuandikia kama kafaulu,kafeli au yuko database ili kuondoa sintofahamu kwa wasailiwa.Kama upo Dar es Salaam nenda kwenye maonyesho ya sabasaba wana Timu yao pale utasaidiwa
Basi watakuwa wamefanya vizuri sana wakifanya hivyoNilipita jana,nikajaribu kuwauliza baadhi ya maswali kama vile nikitaka kujua kuwa niko database ntajuaje,wakanijibu wako mbioni kuanza kuwa wanatoa marks za oral public,na pia wako katika mchakato wa kurekebisha mifumo yao ili pale mtu anapofanya oral akafaulu mfumo uwe unamuandikia kama kafaulu,kafeli au yuko database ili kuondoa sintofahamu kwa wasailiwa.
AmenMungu anaenda kujibu maombi kwa watu humu ndani leo
inshallah 😀😀, jobless tumepata kazi ya kufatilia ajira portalMungu anaenda kujibu maombi kwa watu humu ndani leo
hayo maboresho si walipewa maelekezo na katibu wa Utumishi kuyafanya tangu mwaka janaNilipita jana,nikajaribu kuwauliza baadhi ya maswali kama vile nikitaka kujua kuwa niko database ntajuaje,wakanijibu wako mbioni kuanza kuwa wanatoa marks za oral public,na pia wako katika mchakato wa kurekebisha mifumo yao ili pale mtu anapofanya oral akafaulu mfumo uwe unamuandikia kama kafaulu,kafeli au yuko database ili kuondoa sintofahamu kwa wasailiwa.
kuna huu mkeka wa kichoyo sanaKuna pdf huko
Mkuu utasikia wanafanya vikao kazi, semina elekezi, kamati ya kufanya upembuzi yakinifu, ni urasimu kwenye kila kitu na posho tuhayo maboresho si walipewa maelekezo na katibu wa Utumishi kuyafanya tangu mwaka jana
ina maana hilo zoezi ni gumu kiasi hicho ?
serikali nyingi duniani huendesha mambo yake kwa mfumo huo, sijajua kwanini ipo hivyo.Mkuu utasikia wanafanya vikao kazi, semina elekezi, kamati ya kufanya upembuzi yakinifu, ni urasimu kwenye kila kitu na posho tu
Pdf la leo halina ushuhudaLeteni shuhuda
keshakabidhiKwahiyo Leonce jr umetukimbia😒
AmeshasepaKwahiyo Leonce jr umetukimbia😒
namimi nawakimbia muda si mrefuKwahiyo Leonce jr umetukimbia😒