Assembly Point
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 231
- 662
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemaBaada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3.
Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.ππ½ππ½.
Msikate Tamaa wakuu
Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
Hongera sana mkuu kwa kuwa mvumilivu! Kuna watu hapa wana mwaka tu ila wanalia mno!Baada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3.
Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.ππ½ππ½.
Msikate Tamaa wakuu
Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
Hahha kila la kheri mkuu!namimi nawakimbia muda si mrefu
Hongera sana nduguBaada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3.
Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.ππ½ππ½.
Msikate Tamaa wakuu
Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
Hongera sanaBaada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3.
Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.ππ½ππ½.
Msikate Tamaa wakuu
Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
Pongezi nyingi kwakoBaada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3.
Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.ππ½ππ½.
Msikate Tamaa wakuu
Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
Ikawe kheri utumishini ukoBaada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3.
Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.ππ½ππ½.
Msikate Tamaa wakuu
Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
14Hivi ukipata barua unapewa siku ngapi za kuripot
Duh pambana mkuu hongera lkn
Hongera sana mkuu hBaada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3.
Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.ππ½ππ½.
Msikate Tamaa wakuu
Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
Kaka subiri mkeka wako unakujaSerikali imetangaza ajira moja tu nchi nzima!!
Naomba ikawe heri mkuuKaka subiri mkeka wako unakuja
kuna ajira za madaktari zimetangazwaSerikali imetangaza ajira moja tu nchi nzima!!
Watakua wameziweka saivikuna ajira za madaktari zimetangazwa
wewe upo kada ganiWatakua wameziweka saivi