HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tunatofautina muktadha mm naongelea majina ya kiserikali kwa kazi rasmi, kuna teacher grade A, B , C kuna tutorial assistant, assistant lecturer na lecturer hivo ni vyeo tofauti hata kama wote mnafundisha
Wenyewe wanasema sio walimu ni wakufunzi/ wahadhiri. Wanadai hawafundishi bali wananoa mafuture experts 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…