Official planner
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 253
- 351
Hii safi sana, muhimu haki itendeke.Katika watu sina imani nao ni hawa,
database ya last year naona wanataka kuitumia kama mfanoHii safi sana, muhimu haki itendeke.
Email ya nnduuh nothing to be expected kwa hawa jamaa.. aliepata e-mail ushuhuda plz
email ya kuitwa kaziniEmail ya nn
Leo bila bila aiseehawa wajinga washatulaza njaaa.... π€£ π€£
Yanaboa kishenzi,yanajua tu kujipost yakiwa kwenye warshahawa wajinga washatulaza njaaa.... π€£ π€£
kuweni watulivu si kazi hawatangazi hadi database iishe au?hizi kazi zina wenyewe naona.