Uliwezaje kufanya interview sasa wakati tangazo lilikua specifically kwa ajili ya watu wa mucobs?vyuo vingine mfumo ulikua hauturuhusu kuapply.sasa hivi sisubiri tena maana washapangiwa wote cooperative tcdc. ila mimi sikusoma mucobs
Mimi ndo nshangaa sikuona iliponikatalia kuapply na written nlifanya oral piaUliwezaje kufanya interview sasa wakati tangazo lilikua specifically kwa ajili ya watu wa mucobs?vyuo vingine mfumo ulikua hauturuhusu kuapply.
Au unazungumzia zile tulizofanya oral tarehe 28 April?kama ni zile hazihusiani na hizo za tcdc mkuu.Mimi ndo nshangaa sikuona iliponikatalia kuapply na written nlifanya oral pia
No hii tulifanya Juni 11. Ni TCDCAu unazungumzia zile tulizofanya oral tarehe 28 April?kama ni zile hazihusiani na hizo za tcdc mkuu.
Tarehe 15 April ndio Oral za Uhasibu zilimalizikaMbona mwezi wa sita hakuna interview yoyote ya uhasibu iliyoendeshwa na psrs?nafasi za uhasibu interview zake zilifanyika mwezi march kama sikosei..
Basi wenzio ndio hao wameitwa naonaNo hii tulifanya Juni 11. Ni TCDC
Labda kwa Interview za Tutorial lakini hizi zingine ambazo hazina vigezo vya GPA unapeta tuHivi GPA huwa ina mchango wowote kwenye interview za psrs?
Hamna,labda zile za BOT au tutorial..huko kwingine ni wewe tu kupambanaHivi GPA huwa ina mchango wowote kwenye interview za psrs?
Pia kada ya Utafiti wanazingatia GPALabda kwa Interview za Tutorial lakini hizi zingine ambazo hazina vigezo vya GPA unapeta tu
Lakini wanaita kwa interview zilizofanyika mwaka Jana Nafkiri Plus Database Mwaka Huu hawajagusa kabisa.Ndio wameanza kutoa kama accounts officer mpaka jana washaita watu karibu 120 tangu mwezi wa saba uanze, post zilizotangazwa zilikuwa 224
Hizi nafasi 224 interview yake imefanyika April 15 Mwaka Huu. Mikeka Inaruka Hii tarehe isipokua Mkeka mmoja tu. Tena ulitoa Mtu mmojaNdio wameanza kutoa kama accounts officer mpaka jana washaita watu karibu 120 tangu mwezi wa saba uanze, post zilizotangazwa zilikuwa 224
Wameanza hadi wa mwaka huu, chukua sample ya walioitwa then ka search kwenye watu walioitwa kwenye saili utaona zina matchHizi nafasi 224 interview yake imefanyika April 15 Mwaka Huu. Mikeka Inaruka Hii tarehe isipokua Mkeka mmoja tu. Tena ulitoa Mtu mmoja
PDF zikitoka ndio panachangamka,Leo tumeususa huu uzi