hongera kaka. Mimi nlijaribu kuapply ila nadhani kada yangu ina changamoto kidogo. Sikuweza kufanikishanimepata zile ajira za ualimu kujitolea za tamisemi kuna mtu anafanya iyo kazi vipi maslahi yake ushauri wenu wadau nisije kujichanganya niliona kuna uzi apa kwamba malipo yake ni madogo na hadi uje kupata pia ni usumbufu
Kuna mate aliajiriwa kwa namna hiyo jaribu huenda ukapata connection ila hakikisha una backupnimepata zile ajira za ualimu kujitolea za tamisemi kuna mtu anafanya iyo kazi vipi maslahi yake ushauri wenu wadau nisije kujichanganya niliona kuna uzi apa kwamba malipo yake ni madogo na hadi uje kupata pia ni usumbufu
Kapdf kamchongo nasubiri shuhudaKuna kipdf cha kichoyo kimetoka jana..kina page 4 tu
Tumekata tamaa na pdf zinazotoka, bora watupe majibu tume fail oralWakuu,mmekata tamaa na huu uzi nini?
boss kwaiyo hii uloitwa ni oral nyingine au database uliwekwa?Nimeaga mashindano rasmi, taasisi nilofanya mwezi wa tano, ilitaka mtu mmoja kwenye hiyo nafasi,naona kapatikana,hongera kwake 👋👋
Oral nyingine mkuuboss kwaiyo hii uloitwa ni oral nyingine au database uliwekwa?
🤣 🤣 kwann mkuuPsrs wangese sana hawa
Ivi alieanzisha huu Uzi Angetunukiwa medari from 2022 mpaka Leo hakuna mwenye jibuWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
go and check.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Hamna shuhudago and check.
more work placement
Tafuta AffidavitMwenye uelewa tafadhali,mfano placement halmashauri, vyeti natumia majina mawili mfano( Uncle Mabiki) Nida matatu ( Uncle Godfrey Mabiki) eti nasikia ni tatizo