HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mfano pdf imetoka ukaangalia bahati mbaya jina lako hujaliona, je kuna haja ya kwenda kuangalia kwenye account yako?
Au inapendeza kuangalia koteee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…