HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna lingine linapikwa huko baadae linatoka, msichoke kumuomba Mungu
Hivi out of kusubiri pdf na kuona barua ,mtu utajuaje kuwa umepata kazi au uko database?hakuna viashiria vyovyote kwenye account vinaweza kukusmbia kuwa umetoboa or not?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…