Hongera sana, placement imetoka lini? Imetoka baada ya kuitwa Oral?Bro! Nilikuwa napitia comments zako kuhusu usaili wa NAOT ilitakiwa nifanye oral Dodoma J5 bahati nzuri ninekutana na placement letter ya taasisi nyingine.
Mbona hamna kitu mkuu?Kwa wale mnaojiandaa na Oral ya tarehe 19/08/2026. Someni huu uzi kuanzia posts za tarehe 7 November 2022 hadi tarehe 9 au 10 November 2022
Ngoja na mwingine apitie, huenda wewe hujaona ila mwingine anaweza kuonaMbona hamna kitu mkuu?
Nisaidie kuscreenshot unitumie inbox mkuu,me naona mlikua mnapiga story za kupongezana tuNgoja na mwingine apitie, huenda wewe hujaona ila mwingine anaweza kuona
Written nimepiga ijumaa iliyopita na Oral ilitakiwa nifanye J5 wiki hiiHongera sana, placement imetoka lini? Imetoka baada ya kuitwa Oral?
Sababu siku hizi ukishapata placement unakuwa umeondolewa kwenye wale wanaoweza kupewa nafasi ya kufanya Interview
Nisaidie kuscreenshot unitumie inbox mkuu,me naona mlikua mnapiga story za kupongezana tu
duhh mbona kama yalikua yamoto au kwa kua sio kada yanguMaswali ya auditor ii Naot yalikua haya
1.Introduce yourself
2.a) what is NAOT
b) explain audit services provided by NAOT
3.Explain conditions in which auditor consider to determine materiality
5 points
4. a)what is value for money
b) explain importance of value for money 4 points
5.Ethical requirements inorder for an auditor to maintain independent and confidentiality…..5 points
Nami nilipiga hiyo ngoma..sio poa..halafu utaratibu wao wa panel naona kama wamebadilisha flani vile.sijajua ni kwa naot tu au kwa woteduhh mbona kama yalikua yamoto au kwa kua sio kada yangu
Utaratibu umekuwaje kwani?Nami nilipiga hiyo ngoma..sio poa..halafu utaratibu wao wa panel naona kama wamebadilisha flani vile.sijajua ni kwa naot tu au kwa wote
wamebadilisha nini tena..Nami nilipiga hiyo ngoma..sio poa..halafu utaratibu wao wa panel naona kama wamebadilisha flani vile.sijajua ni kwa naot tu au kwa wote
Yani saivi panelists hawakai na zile score sheets, instead chairman anakua tu anaandika majibu yako,ukishamaliza wakakuruhusu kutoka kwenye chumba vha usahili ndio wanayacompare na marking scheme yao waliyonayo kisha wanakutunuku marks ulizostahiliUtaratibu umekuwaje kwani?
Nahisi ni utaratibu wa hiyo panel tu.Yani saivi panelists hawakai na zile score sheets, instead chairman anakua tu anaandika majibu yako,ukishamaliza wakakuruhusu kutoka kwenye chumba vha usahili ndio wanayacompare na marking scheme yao waliyonayo kisha wanakutunuku marks ulizostahili