HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hizi kazi bana,wengine tunazitaka na wengine hawazitaki.
Jamaa yangu kapangiwa kazi kutoka database economist ii huko halmashauri ya busokelo,kakaa mwezi mmoja tu kapiga kazi chini,karudi zake dar kuendelea na mhindi wake.anasema kufanya kazi halmashauri ni kujitakia umasikini wa hali ya juu sana.
 
😂😂
 
Kuna wengine wanalilia
 
kazi kweli kweli. Kwamba kwa Muhindi ndio kuna utajiri?
 
Yaani ameikimbia busokelo?
 
Tatizo wanatupanga katikati ya pori hata biashara uwez fanya mjini kuna fursa nyingi lakini pia ukipata pesa kuna pakuitumia sasa porini pesa unaitumiaje
 
Wakuu,nichukue nafasi hii ya kipekee kuwashukuru nyote,pdf ya leo imeniona..kama mnakumbuka tarehe 19 August 2026 tulifanya oral ya Auditor officer ii mwajiri akiwa ni NAOT,hatimaye leo mkeka umetoka na mimi nimo.
Asanten sana
 

Attachments

  • Screenshot_20260902_145752_Chrome.jpg
    26 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…