HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Umepiga interview ngapi na ulikua na oral ngapi?
 
Kama hauko serious vile mkuu..yani 32 ndio unasema umekata tamaa kabisa?jamaa zangu wana 41 na bado wanapambania kombe
Amekata moto mapema sana! Inabidi akumbushwe kuwa ukishaingia vitani marufuku kurudi nyuma!
 
Hongera karibu kwenye Uzi wa kuchelewa mishahara, wengine wote msikate tamaa mda wenu unakuja.
Wapi huko mishahara inachelewa?
Katika vitu ambavyo Samia ameviendeleza vizuri kutoka kwa Magufuli ni kulipa mishahara kwa wakati.

Labda huko kuchelewa kuanze mwezi huu wa 9.
 
Wapi huko mishahara inachelewa?
Katika vitu ambavyo Samia ameviendeleza vizuri kutoka kwa Magufuli ni kulipa mishahara kwa wakati.

Labda huko kuchelewa kuanze mwezi huu wa 9.
Uchawa mpaka huku duh!
 
Una miaka mingapi mkuu isije ikawa tunalingana umri
 
Una miaka mingapi mkuu isije ikawa tunalingana umri
Mwezi huu September naingia 32 Mkuu. Majukumu pia yamekua mengi mke na watoto wawili sasa kuendelea kusubiri huruma za watu wa utumishi ili kupata muafaka wa maisha yako ni kipengele mtaalam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…