Hata sisi majukumu tunayo mengi tu mkuu tena huenda kukuzidi..cha kufanya wewe usiache kuapply,unaendelea kupiga mishe zako zingine huku unakua unasikilizia utumishiMwezi huu September naingia 32 Mkuu. Majukumu pia yamekua mengi mke na watoto wawili sasa kuendelea kusubiri huruma za watu wa utumishi ili kupata muafaka wa maisha yako ni kipengele mtaalam.
Kabisa kaka kupambana bila kuchokaHata sisi majukumu tunayo mengi tu mkuu tena huenda kukuzidi..cha kufanya wewe usiache kuapply,unaendelea kupiga mishe zako zingine huku unakua unasikilizia utumishi
Hongera sana Kiongozi ukawe mtumishi mwemaHabarini wasaka asali !
Hatimae siku ya leo nimelamba asali kupitia Psrs hakika Mungu ni mkuu πππ
Kutoka Database au??Habarini wasaka asali !
Hatimae siku ya leo nimelamba asali kupitia Psrs hakika Mungu ni mkuu πππ
Hapana.Kutoka Database au??
Hongera sanaHapana.
Nilifanya usaili mwezi uliopita
Shukrani sana!Hongera sana
Hongera Sana kiongozi naamini Kama Mungu alivyokutendea wewe na wengine pia Mungu atawatendeaπͺHabarini wasaka asali !
Hatimae siku ya leo nimelamba asali kupitia Psrs hakika Mungu ni mkuu πππ
Hakika!Hongera Sana kiongozi naamini Kama Mungu alivyokutendea wewe na wengine pia Mungu atawatendeaπͺ
Pole sana Haina namna kuendeleza mapambano, mimwenyewe hivi Sasa na 30 mwez wa 12 natimiza 31 nimeamua kuoa kwa sabab uelekeo wenyewe haupo wa job,usaili tunafanya lakini bahat hazipo kwetu tuzid kumuomba Mungu na tusikate tamaaMwezi huu September naingia 32 Mkuu. Majukumu pia yamekua mengi mke na watoto wawili sasa kuendelea kusubiri huruma za watu wa utumishi ili kupata muafaka wa maisha yako ni kipengele mtaalam.
Hongera mkuu. Ukawe mtumishi mwema, ukimtanguliza Mungu.Wakuu,nichukue nafasi hii ya kipekee kuwashukuru nyote,pdf ya leo imeniona..kama mnakumbuka tarehe 19 August 2026 tulifanya oral ya Auditor officer ii mwajiri akiwa ni NAOT,hatimaye leo mkeka umetoka na mimi nimo.
Asanten sana
Hongera kijana, karibu kwenye utumishi wa ummaHabarini wasaka asali !
Hatimae siku ya leo nimelamba asali kupitia Psrs hakika Mungu ni mkuu πππ
Shukrani mkuuHongera mkuu. Ukawe mtumishi mwema, ukimtanguliza Mungu.
Asikate tamaa,yeye aendelee hadi 45 ikibidi,ila majukumu mengine aendelee nayo,akitoboa ndo aache rasmi.Pole sana Haina namna kuendeleza mapambano, mimwenyewe hivi Sasa na 30 mwez wa 12 natimiza 31 nimeamua kuoa kwa sabab uelekeo wenyewe haupo wa job,usaili tunafanya lakini bahat hazipo kwetu tuzid kumuomba Mungu na tusikate tamaa
Shukrani sana.Hongera kijana, karibu kwenye utumishi wa umma