HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kama ndiyo h
kuwekwa kwenye data inamaana ukifaulu na ikitokea nafasi wanataka watu waliopo kwenye data wanakuchukua. Zingatia IKITOKEA NAFASI
[/QUOTE
Kumbe milango bado migumu sana kufunguka kwa waliondikiwa passed and stored in data base
 
Kuna Taasisi wao hawataki kuchukua watu wa database wao wanataka kuendesha saili zao wenyewe kuanzia mwanzo ndiyo maana unaona hivyo
Ile ya mwanzo hujachukuliwa kwakua hakuna nafasi iliopatikana ikipatikana nafasi sehemu ambayo wanachukua watu database utaitwa
 
Mfano kwenye hiyo picha hapo, saili zote ni za taasisi moja ya TBC, ingekuwa n database kutoka taasisi nyingine nngeelewa zaidi.
Anyway, nmekuelewa.
 

Nimekuelewa vizuri sana . ila another flasturation jobless watakutana nayo nipale unaingia kwenye account Yako unakutana na taarifa data base ime - expire .. huu utakuwa mwiba mwingine mchungu sana aisee .. wengi wameweza ku - attend hizo oral wakiwa tayari wameshaingia cost kubwa sana ,, sasa kukutana na taarifa kama hii lazima siku iharibike na inaweza chukue muda kweli ku - recover ..
 
Nje ya Mada Mbaga Jr hapo nikichukua hiyo interview serial number niki cross check na majina ya call for interview husika nakupata majina yako pamoja na adress yako, anyway wewe ni mtu safi hujawahi kunitukana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tumetaka wenyewe kuwekewa Status za kuwepo database n.k itabidi tubumilie tu
 
Nje ya Mada Mbaga Jr hapo nikichukua hiyo interview serial number niki cross check na majina ya call for interview husika nakupata majina yako pamoja na adress yako, anyway wewe ni mtu safi hujawahi kunitukana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ni ngumu kaka Mara nyingi Namba hazipangwi kwa series huwa wana utaratibu wa kupanga
 
Sasa mzee, point yako hapa n ipi?
Hutaki watu wajue hali zao huko ajira portal, au unataka kusemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…