japo kajibu vurugu ila nimemuelewaHv n mm tuu sijaielewa hili jibu la utumishi au?
Mana binafsi naona n kama vile amejibu kwa kumaanisha passed n kitu kingine na stored in data bank ni kitu kingine, au nyie mmeelewa vp?
View attachment 3666291
Kiukwel hamn jibu sahihi hapo ni 50/50 kwamaelezo ya utumishiMm account yangu nimeona PASSED AND STORED IN THE DATA BANK.
KWAIYO WAKUU NIENDELE KUWA MVUMILIVU AU NIKALIME ZANGU MAKETE HUKO NDANI NDANI.
Narudi maketeKiukwel hamn jibu sahihi hapo ni 50/50 kwamaelezo ya utumishi
Endelea kulima mkuu, usije ukajipa matumaini hewaMm account yangu nimeona PASSED AND STORED IN THE DATA BANK.
KWAIYO WAKUU NIENDELE KUWA MVUMILIVU AU NIKALIME ZANGU MAKETE HUKO NDANI NDANI.
yote tisa kumiiii ina kupa atleast moyoo kidogo kuwa lolote linaaweza likatokea so lets all tuaminiii kuwa tutakutana na hzo placement later wakubwaaaa.Endelea kulima mkuu, usije ukajipa matumaini hewa
yote tisa kumiiii ina kupa atleast moyoo kidogo kuwa lolote linaaweza likatokea so lets all tuaminiii kuwa tutakutana na hzo placement later wakubwaaaasem
Sijawah ona ufaulu kisha ukose nafasi hii nadhan kuna namna utumishi kuna msosi wanaandaa walaji muwe wavumilivu tuyote tisa kumiiii ina kupa atleast moyoo kidogo kuwa lolote linaaweza likatokea so lets all tuaminiii kuwa tutakutana na hzo placement later wakubwaaaa.
Kweli bhn..yote tisa kumiiii ina kupa atleast moyoo kidogo kuwa lolote linaaweza likatokea so lets all tuaminiii kuwa tutakutana na hzo placement later wakubwaaaa.
ndio kaka ni ngumuuuu yaaan tena wao wenyewe lazima wajishtukiee waandane hzo placement chaap chaapSijawah ona ufaulu kisha ukose nafasi hii nadhan kuna namna utumishi kuna msosi wanaandaa walaji muwe wavumilivu tu
Kweli bhn..
Kidogo unapata matumaini kwamba muda wowote mambo yanawez
si ndio kuliko ile hujui hatma yakooo ni ipiiiiii hapaa unajua kabisa nimefaulu nasubiri nafasi ikitokea sawa isipotokea sawa cha muhimu nimefauluKweli bhn..
Kidogo unapata matumaini kwamba muda wowote mambo yanaweza kubadilika.
Hahahah ili iwe rahisi zaidi ila so far so good mmepewa mlichokuwa mnakililia hapo kuna watuu mlikuwa mnatamaniii mngeona marks kabisasasa hivi baada ya kumaliza oral interview kama mtu umetoboa waweke SELECTED FOR JOB wakati mtu unasubiri barua..
sasa mtu kama katoboa unamuweka roho juu ilii iweje. Pale wanatakiwa waweke tu neno SELECTED FOR JOB au PLACEMENT LETTER IS LOADING waatu waanze kusherekea mapema....Hahahah ili iwe rahisi zaidi ila so far so good mmepewa mlichokuwa mnakililia hapo kuna watuu mlikuwa mnatamaniii mngeona marks kabisa
Kuwa mvumilivu huku ukihudhuria saili mbalimbali usilaze damuMm account yangu nimeona PASSED AND STORED IN THE DATA BANK.
KWAIYO WAKUU NIENDELE KUWA MVUMILIVU AU NIKALIME ZANGU MAKETE HUKO NDANI NDANI.
Sasa mzee, kwan Ukisikia kufaulu ww unaelewa nini, marks za ufaulu kwa kada nyingi n kuanzia 50%Sijawah ona ufaulu kisha ukose nafasi hii nadhan kuna namna utumishi kuna msosi wanaandaa walaji muwe wavumilivu tu
Yn hata ile ya kujiitroduce nahisi nilichapia πyaani Mbaga Jr umejiintroduce tu lakini utumishi wamekuwekea passed and stored into databank.mmh kuna watu wachawi... π€£ π€£
alaf sasa ukute ww ndo ulikuwa na confidence kali ukawa una kimini unacho kiongea ndo maana umefaulu kaka kumbuka kuna watu wengi wameandikiwa pia wapo chinii ya pass mark mzeeeee kwahyo ulifanya vzur so kama kuna uchawiiiiYn hata ile ya kujiitroduce nahisi nilichapia π
Uchawi upo aisee, Ila inawezekana mm n wa mwisho huko database, nilipata 50% π
sure kakaSasa mzee, kwan Ukisikia kufaulu ww unaelewa nini, marks za ufaulu kwa kada nyingi n kuanzia 50%
Kama ww umefaulu kwa 60% na kuna Wengine kama 20 juu yako wamefaulu kwa 90% na nafasi ya kazi n moja au mbili unadhani nani ataanza kupata kazi na wote nyie mmefaulu.?
Em tuache kulalamika ovyo