HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
HUO NI UKIRITIMBA, MWISHO, MLIOPO KANZIDATA MTAANDIKIWA "YOUR DATA BANK HAS EXPIRED".
 
ndicho kinachofanyika. Ni sababu pia ya wao kusema ukiwa kanzi data si guarantee ya kazi
Kanzidata ilianzishwa kwa malengo mazuri lakini watu wanapita humo humo kwenye upigaji..bora wabadili tu kama wanahitaji watu 30 basi wachukue hao thelathini tu..na marks wapange kulingana na 1-30, kuliko kupata matokeo ulifaulu nafasi hazikupatikana jaribu tena.
 
Wewe nae hujui uzi wako unauliza huku
Huyo jamaa miyeyusho,kuna group naot wametutengenezea WhatsApp, wamesema kabisa mtu kama una lolote la kuuliza feel free to ask,lakini yeye kila siku nashangaa anauliza ya naot jf.
 
Kuna watu walisema status zilikua passed and stored then zikarudi selected for oral, naskia ndo sign ya placement hiyo
Je na ambao hawajapass na data base imeixipire zimekuaje? Au zimerufi hivyo hivyo selected for oral?
 
Ok, so selected for oral wajipe matumaini sio (japo haijaandikwa pass and stored in databank)
kama hujapass huandika scored below average kama umexpire huandika your databank has expired
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…