Uwekewe marks 70 baadae ukutane na data bank expired.
Tatizo hapo liko wapi, mnataka muwe databank milele ili wengine wapate lini kazi?Ona hii kitu, umepambana umepenya then unakuta kitu kinasoma hiviView attachment 3684005
Heri marks za ufaulu ziongezwe hata 80 ila watu wasiexpireTatizo hapo liko wapi, mnataka muwe databank milele ili wengine wapate lini kazi?
Atleast mseme muda uongezwe na najua haiwezi kuzidi miaka miwili
At least miaka 3½ maana uhakika wa nafasi nao ni changamoto ndio maana miezi 12 huwezi kupata hio nafasi mwisho databank ina expire unarudia tena palepale unafanya unaingia databank miezi 12 nafasi haipo unaanza na moja unakua ni ujinga mzigoTatizo hapo liko wapi, mnataka muwe databank milele ili wengine wapate lini kazi?
Atleast mseme muda uongezwe na najua haiwezi kuzidi miaka miwili
Hata wakiweka 100 mambo yatakua yaleyale tu au unafikiri hio 80 ndio watu hawafiki? Zinapigwa 98 nini 80?Heri marks za ufaulu ziongezwe hata 80 ila watu wasiexpire
Ngoja tuone ila miaka mitatu, sidhan kudadekAt least miaka 3½ maana uhakika wa nafasi nao ni changamoto ndio maana miezi 12 huwezi kupata hio nafasi mwisho databank ina expire unarudia tena palepale unafanya unaingia databank miezi 12 nafasi haipo unaanza na moja unakua ni ujinga mzigo
Haiwezi kua sawa na ufaulu wa 50 mimi kuna interview wameniambia niko data base na nmejibu swali moja tu kwa uhakika hapo kuna kuitwa kweli ni uongoHata wakiweka 100 mambo yatakua yaleyale tu au unafikiri hio 80 ndio watu hawafiki? Zinapigwa 98 nini 80?
labda watakuita kukupa mkono wa kwaheri 🤣 🤣Haiwezi kua sawa na ufaulu wa 50 mimi kuna interview wameniambia niko data base na nmejibu swali moja tu kwa uhakika hapo kuna kuitwa kweli ni uongo
Mie nasubiri watoe tangazo tena niombe tu🤣🤣labda watakuita kukupa mkono wa kwaheri 🤣 🤣
Kwa sababu ya Maslahi yao binafsi wanachofanya sio kusaidia vijana ila ni biashara na nyinyi vijana ndio wateja wa hio biashara, sijui imekaa kaaje ila uhalisia ndio huo km ikiwa miaka 3½ sidhani km watashindwa kupatia ajira vijana 100 mpaka 200 au 300 waliopo ndani ya databank ndani ya miaka 3½, hio ndio maana yangu sio kinyume na hapo, na kijana akishajua yupo kwenye databank basi apewe notification kabisa asisumbue sumbue kwenye application zingine ili kupisha wengine nao wapate nafasi, hio ndio maana yangu km wamenielewa basi walifanyie kazi na hilo sio hii ya miezi 12 halafu ajira zenyewe nafasi za kulenga inakua haina maanaNgoja tuone ila miaka mitatu, sidhan kudadek
Wapo watu wamejibu maswali yote kwa ufasaha na interview zote wamegonga 90+ kisha wakalazwa kwenye databank sababu nafasi za hio kada ni chache n still wakaambulia "Your Databank was expired" ndio imeishia hapo maana yake nafasi hio itatoka tena waombe tena wakapambane tena waingie tena kwenye databank kisha circle iwe vilevile km mwanzo yaan unazunguka palepale kila baada ya miezi 12 miaka nenda miaka rudi, so what is this?Haiwezi kua sawa na ufaulu wa 50 mimi kuna interview wameniambia niko data base na nmejibu swali moja tu kwa uhakika hapo kuna kuitwa kweli ni uongo
Cha msingi ni mtu akifika oral na kufaulu apangiwe kitu cha kazi....hi kurudi rudia usahili inachosha sanaHata wakiweka 100 mambo yatakua yaleyale tu au unafikiri hio 80 ndio watu hawafiki? Zinapigwa 98 nini 80?
Nafasi chache watu ni wengi ndio hapo kwenye wale waliofaulu oral wanatupwa databank sijui database miezi 12 ikiisha hawajapata pa kukuweka unatolewa unaonekana km waliofeli written tu wakati umefaulu oral vizuri tu, unaanza na moja.. kwa hio shida sio nini kupangwa na kufaulu oral shida nafasi chache na muda wa kukaa kwenye hio databank ni mchacheCha msingi ni mtu akifika oral na kufaulu apangiwe kitu cha kazi....hi kurudi rudia usahili inachosha sana
Daaa !! Ulikuwa umechungulia cheki namba. Kwahiyo, hapo wewe na waliofeli wote ni hali moja.Ona hii kitu, umepambana umepenya then unakuta kitu kinasoma hiviView attachment 3684005
subiri placementMbona account yangu passed imeondolewa na kwenu ipo hivyo waungwana??
Na ikawe hivyo isije kuwa nimeaga mashindanosubiri placement
Ngoja nisubiri nioneWazoefu wanasema ni dalili njema
Kwahiyo wewe ulidhani UDSM wana salary scale ya kwao binafsi ama?Aliekuambia nan UDSM afanane na tengeru kinachingia mwisho wa mwezi mjomba ebu kalale huko
Tofauti haipo kwenye mshahara. Labda kama ikitokana na extra pays kama kuna chuo kimelala sana kwenye masuala ya tafiti, projects nk basi hali ni tete.Mshahara ni uleule kwa tutorial assistant uwe udsm au tengeru hata kama kuna utofat haufik 200k