HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Haiwezi kuwa solution hio. Wanaeza weka ufaulu wa 90 na bado wakafaulu wengi. Ko ikawa ni yale yale. Labda database ifutwe
 
Daaa !! Ulikuwa umechungulia cheki namba. Kwahiyo, hapo wewe na waliofeli wote ni hali moja.
Wote mnaonekana matikitiki tu inabidi uanze na moja ndio mfumo ulivyo mzunguko unakua ule ule unapiga unapasua oral unawekwa databank then your databank has expired unaanza moja tena hivyo hivyo
 
Haiwezi kuwa solution hio. Wanaeza weka ufaulu wa 90 na bado wakafaulu wengi. Ko ikawa ni yale yale. Labda database ifutwe
Good answer.. ifutwe tu km vipi ili mambo yasiwe mengi ukifaulu oral ila nafasi ukakosa waseme palepale kwamba tumewachukua hawa wanatosha nyinyi wengine asanteni kwa kushiriki mmefaulu ila nafasi hazitoshi mambo yasiwe mengi databank ni kutiana ukichaa na uchizi tu
 
Wote mnaonekana matikitiki tu inabidi uanze na moja ndio mfumo ulivyo mzunguko unakua ule ule unapiga unapasua oral unawekwa databank then your databank has expired unaanza moja tena hivyo hivyo
MBONA WATUUUUU WANAAJIRIWA HAO WALOKUWA DATABANK KAMA NI MUDA WAKO NI WAKO TUUU MKUU KAKA IKI EXPIRY HUJAPANGIWA BASI HAIKUPANGWAAAAA JOMBAAAAA
 
Hapa nini kinafuata maana oral ilifanywa tangu Septemba mwanzoni.
 
Naona wamerudisha tena status ya selected for Oral interview kulikoni ? Siyo passed & stored tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…