HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Amini maybe bahati ipo upande wako maana hata me imebadilika kuanzia jumatano iliyopita
Hahahahaaa, ipo hivyo zaidi ya mwezi. Neno stored in databank lilidumu siku 2 tu na ilikuwa kipindi habari inaletwa humu kuhusu kuanzishwa utaratibu wa mambo ya databank.

Hivyo ni kitu ambacho hakiwezekani na ukizingatia ni mwaka na mwezi mmoja tokea hiyo oral.
 
Sawa
 
ILA PIA KUNA MTU JUZIII ILIRUDI SELECTED FOR ORAL NA JION MKEKA UMETOKA IPO PLACEMENT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…