HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hbmv hawa PSRS Hadi Leo tar 14 Nov mwezi unaenda kuisha hawatoi tu mikeka ya interview.. Kuna nini huko ofisini kinaendelea.
Mikeka yetu ya TRA Hadi Leo Received tu tatizo nn.. mwaka unaisha huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…