Imani muhimu sanaππππKwamba wewe ni utumishi mzee?
Ninachoamini ile ni yangu na imekuwaImani muhimu sana
Amen, huyu ni rikiboy wa kimasihara?!!!Ninachoamini ile ni yangu na imekuwa
Yes upo sawaAkili yangu inaniambia hivi shortlisted ni kufaulu oral, ukiwa shortlisted then unaweza either kupangiwa kazi au kukaa database.
Ndo huyu kijana wa hovyoππππAmen, huyu ni rikiboy wa kimasihara?!!!
Hakika sema tuwe tunaomba piaNgoja tuone final conclusion, time will tell.
ππππau sio ?tuna akili tu sema ndo tushakuwa joblessLeo mmetema madini hadi raha nimesoma nimeelew vingi
Kama post gani mkuu?? Wameitwa kimya kimya bila Pdf???B
Bado mzee la post zingne lakin yangu bado
Kaka tusakee ajiraa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rikiboy wa kimasihara huyu?!!!
Sijasikia kama wameitwa kimya kimya mzee ndo maana nimesema labda post zingine kiongozi ,vipi ulipiga oral pale?Kama post gani mkuu?? Wameitwa kimya kimya bila Pdf???
ππππKakuona kijana wa hovyo wakuichakata kimasihara afu upo jobless hahhhKaka tusakee ajiraa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa umefeli hyo oral STATUS inaandikaje Kiongozi?Akili yangu inaniambia hivi shortlisted ni kufaulu oral, ukiwa shortlisted then unaweza either kupangiwa kazi au kukaa database.
ππππHata yeye hajui asikuchanganye na status kula mtori nyama zipo chiniUkiwa umefeli hyo oral STATUS inaandikaje Kiongozi?
Kuanzia mwezi wangapi hizi?Hongera kwa waliopataView attachment 2416775
Watu wa PURA, PPRA, AQRB, TBC, NACVET, WMA, nkKuanzia mwezi wangapi hizi?