Mkuu nami pia niliomba accounts officers sijaziona badoMimi pia nimeuzika sana, hapo kwenye MDAs na LGAs wamezingua, kada nyingine tumewekwa benchi bado.
Lazma aweke pdf maana timu yake Leo inashinda huko so yupo very happy today[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akitoka kwenye mpira anaenda kulewa au kulala
Dah!Mbona itakuwa bonge la bahati.Pole mkuu, endeleza subira, mnaweza kuja kuitwa kwenye oral kama hawa
Ngoja tuone hii kitu aisee...Inawezekana sababu watu wa oral ni wengi probably na mara nyingi usaili unafanyika siku Moja kuhofia kuvuja,pengine wakimaliza hao wanatoa zingine
Hizo 5 ni geresha tu mnaenda kutoboa zaid ya hao 5Sijuajua wametumia kigezo gaini kuita wote oral sisi post inataka watu wa 5 ila wameita zaidi ya 50 moja kwa moja oral
Duu!Wee kada Yako si ndo hii wameita.Itakuwa wamekupiga panga cheki vyema account yako ya Ajira Portal..Mkuu nami pia niliomba accounts officers sijaziona bado
Wameita Accountants II, Hiyo ni post tofauti na Accounts Officer.Duu!Wee kada Yako si ndo hii wameita.Itakuwa wamekupiga panga cheki vyema account yako ya Ajira Portal..
Nawewe umeitwa kwenye usaili au bado?Hiyo hapo
BadoNawewe umeitwa kwenye usaili au bado?
poa poaBado
Wengi wamekatwa, sijui wametumia vigezo gani, akianza post feedback katika accounts tutajua basis za selection.
TumeonaKUITWA KAZINI MNAJIFANYA HAMJAONA AU?!!
AseeeHaya sasa
Ipi hiyoKUITWA KAZINI MNAJIFANYA HAMJAONA AU?!!
Kuna jipya gani kakaTumeona
Hamna hata jipyaKuna jipya gani kaka
Wametoa taasisi gani leoHamna hata jipya