Nadhani wamepigiwa simu ngoja nitauliziaUDOM nao wametoa re-advertized post. Soon mkeka wao utakuwa tayari
Hivi vyuo vikuu ndio tabia zaoNadhani wamepigiwa simu ngoja nitaulizia
ππππHatuwezi kufa lakini chamoto tutakionaYani miez inakatika kama utani na hatufiπ€£
Ndio ndio Wana mandate kubwa sanaHivi vyuo vikuu ndio tabia zao
Taasisi mara nyingi wanawaachia mchakato utumishiNdio ndio Wana mandate kubwa sana
Taasisi process zote zinafanywa na utumishi hapo ndo naona haki inatendeka asilimia zoteTaasisi mara nyingi wanawaachia mchakato utumishi
Daah, acha tu lakini hii ni wiki ya placementTaasisi process zote zinafanywa na utumishi hapo ndo naona haki inatendeka asilimia zote
Asilimia zote?!!!!!!!!Taasisi process zote zinafanywa na utumishi hapo ndo naona haki inatendeka asilimia zote
Ngoja tusubiri mkuu tuone sema mimi uhakika barua yangu ipo mzeeπππDaah, acha tu lakini hii ni wiki ya placement
πππ Tuamke usiku tumuombe MunguNgoja tusubiri mkuu tuone sema mimi uhakika barua yangu ipo mzeeπππ
πππππSijamaanisha kwamba hamna connection mzee hizo zipo tu sema kunakuwa na unafuu kidogoAsilimia zote?!!!!!!!!
Yes yes muhimu sana na imani iwe juuπππ Tuamke usiku tumuombe Mungu
Asee jobless mapambano yanaendelea,nmepigwa ndoigeWatakuwepo tu sema wengi wanakaa kimya
Sawa basi , Subiria kama sisi wenzio tunavyosubiria pia kuitwa .Japo inaboa kinoma.Wameita Accountants II, Hiyo ni post tofauti na Accounts Officer.
nimezungumzia wahasibu, ww unazungumzia maafisa hesabu ambao huwa ni diploma holders (if am not mistaken). Wahasibu ni wengi zaidi badoAccounts officer hawajaitwa bado ambao ndo kundi kubwa
KwaniniUtumishi wamezingua sana
Hilo ni takwa la kisheria, Accountant lazima awe na CPA.Accountant hizi MDA'S & LGA'S wameita watu wenye CPA tu
Hapa kuna kitu hakijakaa sawa,. Nimeona baadhi ya watu wanajaribu ku-justify hili kwa mwamvuli wa CPA,.nimezungumzia wahasibu, ww unazungumzia maafisa hesabu ambao huwa ni diploma holders (if am not mistaken). Wahasibu ni wengi zaidi bado