Mbona waliruhusu wasio na CPA kuapply.Hilo ni takwa la kisheria, Accountant lazima awe na CPA.
Accounts Officer iliruhusiwa, Accountant bila CPA ilikataa kupitisha maombi.Mbona waliruhusu wasio na CPA kuapply.
Sure wapo wa kutoshaHapa kuna kitu hakijakaa sawa,. Nimeona baadhi ya watu wanajaribu ku-justify hili kwa mwamvuli wa CPA,.
Ukwel usiopingika, CPA ziko nyingi mnoo mtaani, sio kitu adim tena nchini.
CPA ilimfanya jamaa yangu kutoka ujobless hadi kulipwa 3millionAccounts Officer iliruhusiwa, Accountant bila CPA ilikataa kupitisha maombi.
Kigezo CPA kwa wahasibu na wanataka watu 100 shortlisted oral interview watu Ka 245 hv ratio nzr sana hii kutoboa ,kupata mrija .....waliobaki wachumi-70 ,watakwimu-70 ,mafisa mipango-26 hawa nazani written itahusu hapa maana nyomi inaweza kuwa kubwa ,vijana wasubrie pdf ya MDs na LGaswamezngatia nn hapo kuita watu oral moja kwa moja bila written?
Dah aisee life 3m nikipata mie itakuaje kwakweli🤣🤣🤣CPA ilimfanya jamaa yangu kutoka ujobless hadi kulipwa 3million
Kwa hizi Mdas na LGas salary scale ni TGS- E sawa na 1m kwa sahv kwa anae anzaCPA ilimfanya jamaa yangu kutoka ujobless hadi kulipwa 3million
😂😂😂😂😂Kwa ninavyokufahamu utatupiga vikumbo na Subaru yako mzee hahhhhDah aisee life 3m nikipata mie itakuaje kwakweli🤣🤣🤣
Naweza nikafumba macho kama Sina Hela miaka miwili then navuta chuma ya maana watu waanze kuniita freemason mziki umetulia nikifika mtaani nafungua milango nachaa nyimbo ya darasa maisha na mziki naenda kulala 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Kwa ninavyokufahamu utatupiga vikumbo na Subaru yako mzee hahhhh
Mdas hadi tra tcra tbs etc ndaniKwa hizi Mdas na LGas salary scale ni TGS- E sawa na 1m kwa sahv kwa anae anza
Kwa hizi Mdas na LGas salary scale ni TGS- E sawa na 1m kwa sahv kwa anae anza
Utazoea hasira zitaisha!!!Naweza nikafumba macho kama Sina Hela miaka miwili then navuta chuma ya maana watu waanze kuniita freemason mziki umetulia nikifika mtaani nafungua milango nachaa nyimbo ya darasa maisha na mziki naenda kulala 🤣🤣🤣
NB:SEMA MADEMU walionikataa kudadeki zao hata hawanijibu sms zangu wasap wananiblue tick tu mamamee na mie siwaambii kama nishakula asali hapa nasubri tu nianze kuvuta mpunga nikope Hela benki🤣(nitalipa maana sidaiwi na Helsb mie so fresh tu) then ninunie Subaru au crown 👑 hapa then nipost status mamaeeee
😂😂😂😂Subaru ndo unyama sana mzee nyumba tutapanga aseeh sio Lazima kujenga hahhhhNaweza nikafumba macho kama Sina Hela miaka miwili then navuta chuma ya maana watu waanze kuniita freemason mziki umetulia nikifika mtaani nafungua milango nachaa nyimbo ya darasa maisha na mziki naenda kulala 🤣🤣🤣
NB:SEMA MADEMU walionikataa kudadeki zao hata hawanijibu sms zangu wasap wananiblue tick tu mamamee na mie siwaambii kama nishakula asali hapa nasubri tu nianze kuvuta mpunga nikope Hela benki🤣(nitalipa maana sidaiwi na Helsb mie so fresh tu) then ninunie Subaru au crown 👑 hapa then nipost status mamaeeee
Mpka hasira zikaishee nakaribia kustaafu🤣Utazoea hasira zitaisha!!!
😂😂😂😂Amna aseeh jobless tunadhalaurika sana mzee Mungu ndo anajua mihangaiko yetuUtazoea hasira zitaisha!!!
Nyumba nyingi sana haya Tanzania tutapanga tu mkuu tutajenga badae sana🤣😂😂😂😂Subaru ndo unyama sana mzee nyumba tutapanga aseeh sio Lazima kujenga hahhhh
😂😂😂😂HahhhhMpka hasira zikaishee nakaribia kustaafu🤣
😂😂😂😂Nitajenga nikistaafuNyumba nyingi sana haya Tanzania tutapanga tu mkuu tutajenga badae sana🤣
Taasisi gani mzeeAsee jobless mapambano yanaendelea,nmepigwa ndoige
Pole sana mkuu, ni placement au usaili?Asee jobless mapambano yanaendelea,nmepigwa ndoige