Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Duu, noma aisee
 
Duuh muda nihuo huo dk 40
 

Mkuu, kwa ninavyofahamu kazi za Dodoma ni za wote bila kujali upande wa Muungano ila za Zanzibar ni za Wazanzibari tu.

NB: Kwa maridhiano ya Sheria yaliyofanywa hivi karibuni katika 100% ya kazi zote za Muungano 21% ni maalumu kwa Wazanzibari tu na 79% ni za Watanganyika.
 
Acha watu wakaongeze uchumi Dodoma, Guest zote zitajaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…