Mwezi ujao mwanzo uhakikaKweli aise soon๐ค
Haiwezi kufika January kweli make kuna mtu anasema amesubili miezi saba!Mwezi ujao mwanzo uhakika
@Munyaaho nakuona uko active kuwauliza sana insta ,,majibu yao yanakuwa "soon" ...ENDELEA kuwauliza kkPSRS ukiwapigia simu saa hizi wanapokea, ukiuliza kuhusu matokeo anasema kuweni na subira hivi karibuni mtafurahi
Niko pale nmekula mpozo na status yangu na received moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuwe wapole tu
Duuuh miezi Saba anasubria placement mmh hapana labda wenzake waliofaulu walishapigiwa simu,,au yupo kanzidata anasubria gapHaiwezi kufika January kweli make kuna mtu anasema amesubili miezi saba!
Bora hata katibu mkuu angekuwa insta naye tumtag ajuwe watu tumechoka sasaDuuuh miezi Saba anasubria placement mmh hapana labda wenzake waliofaulu walishapigiwa simu,,au yupo kanzidata anasubria gap
Mwezi ujao mapema tu naenda kuchukua barua yangu wasipotoa barua itanikuta kazini sasa๐๐๐๐Haiwezi kufika January kweli make kuna mtu anasema amesubili miezi saba!
๐๐๐Mwezi ujao mapema tu naenda kuchukua barua yangu wasipotoa barua itanikuta kazini sasa๐๐๐๐
,๐๐๐๐๐ Shortlisted uhakikaNiko pale nmekula mpozo na status yangu na received moja [emoji23][emoji23]
Kbsa bosi mkubwa akipata malalamiko live pengine anawez kupush mamboBora hata katibu mkuu angekuwa insta naye tumtag ajuwe watu tumechoka sasa
Hayuko mtandaoni sasa๐ฅบKbsa bosi mkubwa akipata malalamiko live pengine anawez kupush mambo
Eeh boi shortlisted ni Kama NDOIGE " ukipata Kama umepata ,ukikosa Kama umepata "" maisha yanaendelea,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shortlisted uhakika
๐๐๐๐Uhakika Kuna wanangu wa selected for oral hao wameachwa msata hata hawajaikamata chalinze hahhhhEeh boi shortlisted ni Kama NDOIGE " ukipata Kama umepata ,ukikosa Kama umepata "" maisha yanaendelea
Niaje, hivi kwenye account yangu wameendaka muda mwingine wa kufanya interview na pia kweny pdf muda tofauti, je upi ndo wa kuutukia maanani! Na pia wakiandika saa 1 kamili asubaha wanaamaanisha kweli au Niaje!?,๐๐๐๐๐ Shortlisted uhakika
Hahaaa, halafu kalazwa na viatuYupo busy TBC 1 na game ya Belgium na Canada, kambetia canada
Mzee mwenyewe wa kunyatia naona wanakuchanganya sana na ID zao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu mwandiko wakike kabisaaa sema jina sasa ndo lakiume
Kwenye account wameandika saa ngapi, na PDF wameandika saa ngapiNiaje, hivi kwenye account yangu wameendaka muda mwingine wa kufanya interview na pia kweny pdf muda tofauti, je upi ndo wa kuutukia maanani! Na pia wakiandika saa 1 kamili asubaha wanaamaanisha kweli au Niaje!?
Kwenye account saa 1:00 asubah, kweny Pdf saa 4:00 kamilKwenye account wameandika saa ngapi, na PDF wameandika saa ngapi