😂😂😂😂😂Anatunyanyasa jobless daaahUnatafuta matusi ya bure tuu...
dahNauli ya ndege hadi Dom bei gani[emoji23][emoji23]
Mbona iko fresh tu ,, au ni kwa mliofanya usahili janaHapo sawa kaka...
@wizy vp kuna uwezekano wa kuongeza shortlisted au not selected for[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anatunyanyasa jobless daaah
Jobless "In God we trust" [emoji120]Muhimu kaka
Muda huu ndiyo imekaa vizuri lakini mwanzo ilikuwa inagoma kuloginMbona iko fresh tu ,, au ni kwa mliofanya usahili jana
Mshitueni huyo mtaalamu wa flash atupie placements maana jobless tuna wenge mtaani hatujui siku Wala saa ya kuingia kwenye mrija wa asaliMtaalam Wa Kutembea Na Flash Ya Pdf Hana Weekend Labda Asahau Pc Yake.
Itakuwa Anaclear Yale Yaliyo Expire Au Anaongez Same Details
Akiruhusu Muingie Muda Huo Inamletea Ugumu.
Ndo maan Wanafanyag Weekend Au Asubuh sanaa Saa 10 au 11.
😂😂😂😂Kaka ni nusu kwa nusu mzee hapa sielewi nipande gari au nisubiri mkando wa ndoige yani mkando is every where you are😂@wizy vp kuna uwezekano wa kuongeza shortlisted au not selected for
Subiri tokeo kaka,, gari zipo tu mda wote..😂😂😂😂Kaka ni nusu kwa nusu mzee hapa sielewi nipande gari au nisubiri mkando wa ndoige yani mkando is every where you are😂
Usichoke mwanangu neema yaja wakati mwengine unashtua kidogo hizi shida hata kuvaa vizuri na kwenda showroom kulizia hata bei ya V8😂 unaushtua kidogo hizi shida zetu
Kweli bhana wamshtue kidogo atukumbuke hali si haliMshitueni huyo mtaalamu wa flash atupie placements maana jobless tuna wenge mtaani hatujui siku Wala saa ya kuingia kwenye mrija wa asali
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Usichoke mwanangu neema yaja wakati mwengine unashtua kidogo hizi shida hata kuvaa vizuri na kwenda showroom kulizia hata bei ya V8[emoji23] unaushtua kidogo hizi shida zetu
Ameshaanza kututenga jobless wenzake [emoji38]Mkuu kyagata, pole na majukumu. Umeadimika sana kwenye Jukwaa la Ajira na Tenda, vipi umeshatusua maisha nini?
Nisamehe, naomba nikutanie kidogo, au ni baada ya kupita kwenda kwenye Oral ya Bodi ya Mikopo umepata kiburi cha uwezekano wa placement au kanzi data?
Nipo mkuu,sema majukumu mengine lazima yaendelee huku mtaani wakati tunasikilizia majibu ya hao jamaa.Mkuu kyagata, pole na majukumu. Umeadimika sana kwenye Jukwaa la Ajira na Tenda, vipi umeshatusua maisha nini?
Nisamehe, naomba nikutanie kidogo, au ni baada ya kupita kwenda kwenye Oral ya Bodi ya Mikopo umepata kiburi cha uwezekano wa placement au kanzi data?
Ameshaanza kututenga jobless wenzake [emoji38]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nipo mkuu,sema majukumu mengine lazima yaendelee huku mtaani wakati tunasikilizia majibu ya hao jamaa.
leo jioniNyie mliambiwa tokeo linatoka lini Mkuu..?