Muulize like swali lako basi la kitaalam lakujua njisia kuwa "hiyo picha kwenye avatar ni wewe" swali lako hili nalikubali sana mwanaguπ€£π€£ππππHii avatar inataka uishie kitaalamu sana hahhh
Ukiwa na changamoto niconsult πππAisee....kweli kila.mtu ana zamu yake boss
ππππNi yeye kaka hahhhhh siwezi kukosa kazi nikose na uteleziMuulize like swali lako basi la kitaalam lakujua njisia kuwa "hiyo picha kwenye avatar ni wewe" swali lako hili nalikubali sana mwanaguπ€£π€£
Andaa nauli tu hapo utakuja Jina lako litakua kwenye nyongeza ya majinaAisee....kweli kila.mtu ana zamu yake boss
Nimecheka sana hapa dahπ€£π€£π€£Ukiwa na changamoto niconsult πππ
πππππHahhhhh Kaka imebidi nitumie mashambulizi ya nyukilia unaniovertake sanaNimecheka sana hapa dahπ€£π€£π€£
Tutasubiri mpaka tutakuwa vichuguuTusubiri mpka saa tatu
Jumamosi zitatoka sinilishasema tusubiri mwezi ujao kwahiyo mpaka ifike decemberTutasubiri mpaka tutakuwa vichuguu
Uzoefu umekubeba hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilifika kaka sijui hata nilifaulu vipi
Tutaenda mpaka jumamosi za JanuaryJumamosi zitatoka sinilishasema tusubiri mwezi ujao kwahiyo mpaka ifike december
Uzuri status zinasoma shortlisted mzee au sio π€£π€£π€£Jumamosi zitatoka sinilishasema tusubiri mwezi ujao kwahiyo mpaka ifike december
Watafute fast kwenye simu ingawa huwa haipokelewi mapemaPassport size not uploaded...na kwenye profile passport size ipo. Kweli kama haijapangwa haijapangwa tu.
Hapa inabidi na mie nitoe nyukilia Zangu sasaπππππHahhhhh Kaka imebidi nitumie mashambulizi ya nyukilia unaniovertake sana
Pole sana,Ni passport official ina pazia lile la blue. Na saiv wanajua wamezima simu ya kazi...haipatikani.
ππππUzoefu umekubeba hapo
ππππKaka pdf ya placement utuwekee leoHapa inabidi na mie nitoe nyukilia Zangu sasa
ππππHilo ndo la msingi ikibadilika tu hapo baba jeni bye byeUzuri status zinasoma shortlisted mzee au sio π€£π€£π€£
Naweka mapema sana saa Moja na dakika 15 hadi 26 nitakua nimewekaππππKaka pdf ya placement utuwekee leo
Hapana ni mwezi ujao mzeeTutaenda mpaka jumamosi za January
ππππNa passport ya huyo manzi iangalie kama ipo sawa jina lake liweke kwenye nyongeza mdada mzuri anapataje shida aseehNaweka mapema sana saa Moja na dakika 15 hadi 26 nitakua nimeweka