Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
INi passport official ina pazia lile la blue. Na saiv wanajua wamezima simu ya kazi...haipatikani.
Watapigwa na kitu kizito kichwani sio?Mtakuja opoa chura kudhani samaki🤣🤣 hivi avatar nyingine zimekaa kimkakati sana 🤣🤣
Nyota njema huonekana asubuhi mkuu. Kesho nayo ni siku!Hii jumanne nahisi inataka kuwa nzuri
Kuna watu wa ADEM,IFM, NELSON MANDELA, na taasisi nyingi tu walifanya usahili mwezi wa 9 kweny trh za 20 hv ..wako wanasubria placement, waone maajabu ya shortlisted [emoji23][emoji23][emoji23]Hapana ni mwezi ujao mzee
Subiri mwezi ujao mzee mimi najua mwezi ujao nakuwa kazini😂😂😂😂Kuna watu wa ADEM,IFM, NELSON MANDELA, na taasisi nyingi tu walifanya usahili mwezi wa 9 kweny trh za 20 hv ..wako wanasubria placement, waone maajabu ya shortlisted [emoji23][emoji23][emoji23]
Tutapost badae tunawaangalia senegalKwamba Leo hakuna placement au ile flash haijaonekana
Game imeisha mwamba Sasa hv anashusha pdfTutapost badae tunawaangalia senegal
😂😂😂😂Hamna pdf apa mpaka tuheshimiane mtaaniGame imeisha mwamba Sasa hv anashusha pdf
Au mwakAni kabisa ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] baba jeeeeeni ,babaaaa ooh baba jeeeni [emoji1787]Subiri mwezi ujao mzee mimi najua mwezi ujao nakuwa kazini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Mzee unataka niachwe na manzi yangu aseeh niiahidi mwezi ujao napata kazi asa zisipotoka mkisikia Yale ya katibu mjue kijana nshapotea 😂Au mwakAni kabisa ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] baba jeeeeeni ,babaaaa ooh baba jeeeni [emoji1787]
Mzigo umewekwa ila sisi wa ADEM badoOya mkacheki pdf imewekwa huko
Wameweka taasisi gani mzeeMzigo umewekwa ila sisi wa ADEM bado
DMI, TIA,TEMDO, TAWIRI, ERB,NIMR, TFS na IFM nafasi moja tuWameweka taasisi gani mzee
Tusubiri jmos sasaDMI, TIA,TEMDO, TAWIRI, ERB,NIMR, TFS na IFM nafasi moja tu
Poapoa ngoja tuendelee kusubiriTusubiri jmos sasa
Mdogo mdogo waliobahatika ,,wengine kanzidata, ikitokea haukufanya poa basi tupambane tena zikitangazwa ..DMI, TIA,TEMDO, TAWIRI, ERB,NIMR, TFS na IFM nafasi moja tu
Wameanza kufungulia bomba la mrija wa asali kwa baadhi ya watu aisee...Tusubiri jmos sasa