Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Acha kabisa hyo feeling bwana huelewi kama ulale au ukesheππππapo bado anawapa taarifa nyumbani aseeh Jambo la furaha hili
Meck ipo selected for oral kwahiyo tuseme umepata mzee au bado unabisha tena?πππππHaha ee pale hamna...mec atakuja kunisaidia kunipa matumaini
Mpk nione jina pdf π€£π€£Meck ipo selected for oral kwahiyo tuseme umepata mzee au bado unabisha tena?πππππ
Nimeamin ukiwa na wadada kutoboa oral ngumu
Wizara ya kilimo - Agricultural officer IIOndoa tra,mkeka gani mkubwa umebaki?
Ukiwa na changamoto niconsult [emoji122][emoji122][emoji122]
Selected for but namtafuta aliyepata anipe mrejesho but yupo tu analia kwa furaha but kesho nitamuuliza status yake ipojeUpo data base mzee na kwenye app ipoje??
Tutor IIAdem ulifanya post Gani kaka
Sina uhakika sana mkuu, ila hivyo ndo inaonyesha huku kwangu, tusikate tamaa, tuzidi kuomba na kujaribu kwa nguvu zot
hiyo iliyobaki selected for oral pdf yake ya placement imetok tyr?Sina uhakika sana mkuu, ila hivyo ndo inaonyesha huku kwangu, tusikate tamaa, tuzidi kuomba na kujaribu kwa nguvu zote
Pole mkuu,usikate tamΓ a tuendelee kupambanaNimeamin ukiwa na wadada kutoboa oral ngumu
Namaanisha course ipiTutor II
Jamani eeeh!Mbona kama written interview siku hizi hakuna ?Ni moja Kwa moja oral...
Kuna wale wahasibu, mbona walipita Moja Kwa Moja oral?Kipi kimefanya useme hivi mkuu?
ππππKaka hutaki jobless nijibebee kuruta wa Mungu??Hahaha! Mkuu, ukarimu mkubwa kiasi hicho umeanza lini?
CPA(T) iliwabeba na walikua wachache kulinganisha na nafasi.Kuna wale wahasibu, mbona walipita Moja Kwa Moja oral?
Wadada walikua wangapi na post zilikua ngapi?Nimeamin ukiwa na wadada kutoboa oral ngumu
Kwahiyo huamini??oya nitakata jina lakoππππMpk nione jina pdf π€£π€£
ππππNgoja uende zikakukande ndo utajua zipo au vipiJamani eeeh!Mbona kama written interview siku hizi hakuna ?Ni moja Kwa moja oral...
Poa poaSelected for but namtafuta aliyepata anipe mrejesho but yupo tu analia kwa furaha but kesho nitamuuliza status yake ipoje