Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na wawe wamekamlisha kila kitu check no iwe tayari sio Tena tunaenda kufanya kazi miezi 3 bila mshahara itakua uhuni
Kama masomo hawajanzaa Bhac Haina shida sikilizia. Nilijua wanafunzi wameanzaa kusoma. wakikuita ss hv ni Unyonyaji Huo Cheque itanzaa kusoma mshahara wa December na Haupo kituoni Bado Mpya kabs kwny mrija.
Kwa mantiki hiyo endelea na kawaida mpak wafungue chuo.
 

Hii nishaona ni mwakani labda mwezi wa 2 au 3 maana ni wanapeleka wafanyakazi kwenye vyuo vipya wanavyojenga na Bado havijakamlika asilimia zote so Bora Psrs watoe placement zingine mie niishi nazo hizo hii nimechoka
 
Hii nishaona ni mwakani labda mwezi wa 2 au 3 maana ni wanapeleka wafanyakazi kwenye vyuo vipya wanavyojenga na Bado havijakamlika asilimia zote so Bora Psrs watoe placement zingine mie niishi nazo hizo hii nimechoka
Mwezi wa kwanza ndo masomo yao yanaanza Kaka kwahiyo mtapigiwa mwezi huu unaoanza ili muandae mambo yakufundisha january
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka hutaki jobless nijibebee kuruta wa Mungu??

Hahaha! Nataka mkuu ila nilishtuka namna ukarimu wako ulipanga kwa kasi sana tena ghafla.

Hata hivyo picha wanazoweka kwenye Avatar zisikuchanganye ukauohonga ukarimu wako bure mwishoni kumbe ni mwanaume.

Mpaka leo nikifikiria kumbe Mkuu moneytalk ni mwanaume nguvu zinaisha. Natamani siku moja, aje atengue kauli na kusema alikuwa anatutania.
 
Kijana wa hovyo sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…