Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana, kama ni mimi vile nilivyojifeel[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na tangu ujiunge JF june 2022, hii ndio post/komenti yako ya kwanza.

Au una ID nyingine popular mkuu ambayo hujataka tujue kama ulikuwa kwenye msafara wa jobless[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hongera kwa kupata mrija wa Asali, ukawe mtumishi mwema, muadilifu, mchapakazi na mwenye maono ya kuivusha TZ.

Ni vizuri ukawa unakomenti humu ili kuwapa motisha wengine ambao bado wanapambana, hakuna watu wanaoaminiwa kama wale waliofanikiwa kwenye jambo fulani na wale ambao hawajafanikiwa.
 
Waliopata recently ni shortlisted, wa zamani ni selected for oral
Tuishi humo shortlisted=placement na baada yakupata ukaingia kazini hiyo shortlisted hubadilika nakuwa selected for oral na kama upo data base hubaki shortlisted hivyo hivyo mpka six month ipite ikishapita hurudi selected for oral hapo sasa unakuwa haupo popote hata data base๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwahiyo haya mabadiliko ya status yana hatua kama nne hivi woyoooooo ujobless bye bye
 
Kwenye math au phyz tulikuwaga tunasema hence shown
Shortlisted=placement au data base
Kama unabisha sasa sema unbeaten 50๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Waliopata recently ni shortlisted, wa zamani ni selected for oral
Sasa Kama recently hakupata ni selected for oral hakufaulu,,,au ni shortlisted nafasi Zilikuwa chache Yuko database(benchi) anasubria nafasi ipatikane awekwe? Na je mwingine ni recently kapata na inaandika selected for oral ....[emoji23][emoji23][emoji23] Unatuambiaje hapo Prok
 
Hongera sana, kama ni mimi vile nilivyojifeel[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaoleta shuhuda wanatuacha tunatiririkwa na maudenda hatari hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Waendelee kuleta shuhuda maana hapa tupo kama kwenye foleni, mwenzako akipata na sisi tunajipa matumaini kuwa tumekaribia kupata
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kaka huyo wa recently aliyepata afu imeandika selected for oral wewe umemuona wapiiiiii??au ujobless umekuchanganya kijana wa hovyo
 
Umeshafnayiwa Vetting??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wizy
 
Wewe unafikiri hajawahi iangalia???
Mara ya mwisho kuiangalia ilikuwa ni tarehe 4 Novemba wakati naangalia Selected for Oral, hadi sasa sijaangalia tena.

Sasahivi naingia PSRS bila kulog in, jicho la kwanza ni kwenye matangazo tu(Advertisement, Call, Placements).

Nikikuta hamna jipya, nasepa kwenye hiyo web
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ