Natoa tu ushauri kwa wale wanaoenda kufanya usaili Kuna option mbili za kujiandaa na hii mitihani ya utumishi
1. Unapojiandaa jiandae kupitia zile job description Yani soma topics za chuo au secondary zinazoendana na zile duties (hii ilikuwa inatumika zaidi kwa mitihani ya September kurudi nyuma) lakini kwa sasa kwa mitihani ya technical wamebase darasani zaidi
2.option ya pili jiandae soma mambo ya darasani zaidi Tena chimba sana Kuna maswali Yale yanayouliza let say 1+1=2 halafu wanakuuliza kwanini ni 2 isiwe 11 ,hayo maswali yanakupima kuelewa kile kinafanyika nyuma ya Hilo jibu lako
Na kingine written haitaki maelezo mengi jibu short and clear pia hakikisha unajibu maswali yote Yani yote usiache swalii ,kwahiyo uwe na speed
HS CODE