Hahhhhh wamefanya nini tenaVeta wanaupiga mwingi sana huko Ajira potal wajue tu kuwa nawafatilia Kwa karibu sanaπ€£π€£
Wanamwaga kazi tu huko mkuu mpaka zifike 500+ now washa toa Ajira ya watu 150 mama kamwaga mabilioni mengi sana nipo kila siku natafta njia ya kuishii nayo hata 20millin hivi nitakua najependekeza kwa wakurungenzi na wakuu wa idara π€£π€£π€£π€£Hahhhhh wamefanya nini tena
πππππHahhhhh kijana wa hovyo sanaWanamwaga kazi tu huko mkuu mpaka zifike 500+ now washa toa Ajira ya watu 150 mama kamwaga mabilioni mengi sana nipo kila siku natafta njia ya kuishii nayo hata 20millin hivi nitakua najependekeza kwa wakurungenzi na wakuu wa idara π€£π€£π€£π€£
Leo naona bila bila aseehMida ya placement hiiππ
Nilidhan mara baada ya kuisha game ya morroco na ushindi iliyopata ....mzee wa flash ange upload angalau pdf 1 ila bilabila labda atatoa baada ya game ya MjerumaniMida ya placement hii[emoji23][emoji23]
Tusubiri kesho kutwa labdaNilidhan mara baada ya kuisha game ya morroco na ushindi iliyopata ....mzee wa flash ange upload angalau pdf 1 ila bilabila labda atatoa baada ya game ya Mjerumani
πππππMida ya placement hiiππ
Sio january kabsa mana huu mwezi harakati ni nying sanaTusubiri kesho kutwa labda
Amna mwezi huu hauvukiSio january kabsa mana huu mwezi harakati ni nying sana
mana baadh ya post placement znaenda hadi miez miwiliAmna mwezi huu hauvuki
Miwili tu braza,hizi zinazosubiriwa hapa ni za mwezi wa 9mana baadh ya post placement znaenda hadi miez miwili
Tukutane wiki ijayo hii [emoji4][emoji4][emoji4]Tusubiri kesho kutwa labda
Nyie mwakani mkuuKama ni hivo team nov inabidi tutulie kidogo
Nyie mwakani mzee hapa zinasubiriwa za SeptemberKama ni hivo team nov inabidi tutulie kidogo
ππππHaya mzeeππππ sio kweli nina imani kubwa huu mwezi hauishi
hiyo after three weeks ndo inavyokua?Nyie mwakani mzee hapa zinasubiriwa za September