ππππKwamba interview ulijifanyia mwenywe au sio?π π mana hapa nimeshaandsaa barua ya kuresign kabsa mamaee
Tuendelee kusubiri na kuwa na imaniUjobless ni kama laanaπππ
Tuliambiwa kama wewe miez minne inaenda sa hvihiyo after three weeks ndo inavyokua?
subir nitakapo kupa ushuhuda hapa hyo skuππππππKwamba interview ulijifanyia mwenywe au sio?ππππKwamba interview ulijifanyia mwenywe au sio?
Ujobless ni mgumu sana just imagine unasubiria kitu ambacho huna uhakika kama utakipata
Imani muhimu sana kakaTuendelee kusubiri na kuwa na imani
Duuuh kumbeTuliambiwa kama wewe miez minne inaenda sa hvi
Ichane kwanza bro,ngoja mwakaniππ π mana hapa nimeshaandsaa barua ya kuresign kabsa mamaee
Ngoja nitoke kwenye sherehe kaka
hapana iman yngu ni kubwa mno acha ikae tu kwanzaππIchane kwanza bro,ngoja mwakaniπ
Alizamia kijana wa hovyo huyuπ€£π€£Sawa kaka.
Ila samahani, jobless anapataje ujasiri wa kuhudhuria sherehe, kwanza hata huo mchango anapataje.
Hahaha! Au umezamia bila kuchangia Mkuu?
Sawa kaka,naamini utapata mrija wa asali ila huo muda mlioambiwa huoπ€£hapana iman yngu ni kubwa mno acha ikae tu kwanzaππ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna kaukweli hapa
π π π π π hata mimi nina tabia hyo nikienda interview nikione furniture hata ofisi yenyewe haieleweki unaon hapa hmna jambo hapoHahaha! Mkuu, mtamfanya jamaa aanze kuidharau kazi mapema kumbe kuna uwezekano yeye akaenda kuwa wa tofauti na waliopo.
Miaka ya nyuma wakati niko kwenye hustle kali, niliwahi kuitwa kwenye usaili fulani, na kweli nikaona uelekeo wa kufanya vizuri ni mkubwa sana.
Kilichonivunja moyo ni namna Hr anavaa mavazi ya yamechoka, na kibaya zaidi tulibadilishana namba nikashangaa naingia Whatsapp haujapita muda mrefu nikakuta amepost picha za vyumba vingi, kumbe anapiga na mishe mishe ya udalali wa vyumba.
Duh! Nikawapotezea sijarudi tena hata waliponiita.
ππππhahhhh Kaka mfanyakazi mwenzetu alikuwa anafunga ndoaSawa kaka.
Ila samahani, jobless anapataje ujasiri wa kuhudhuria sherehe, kwanza hata huo mchango anapataje.
Hahaha! Au umezamia bila kuchangia Mkuu?
Natoa tu ushauri kwa wale wanaoenda kufanya usaili Kuna option mbili za kujiandaa na hii mitihani ya utumishi
1. Unapojiandaa jiandae kupitia zile job description Yani soma topics za chuo au secondary zinazoendana na zile duties (hii ilikuwa inatumika zaidi kwa mitihani ya September kurudi nyuma) lakini kwa sasa kwa mitihani ya technical wamebase darasani zaidi
2.option ya pili jiandae soma mambo ya darasani zaidi Tena chimba sana Kuna maswali Yale yanayouliza let say 1+1=2 halafu wanakuuliza kwanini ni 2 isiwe 11 ,hayo maswali yanakupima kuelewa kile kinafanyika nyuma ya Hilo jibu lako
Na kingine written haitaki maelezo mengi jibu short and clear pia hakikisha unajibu maswali yote Yani yote usiache swalii ,kwahiyo uwe na speed HS CODE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh Mimi ndo kijana wa hovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahhhh Kaka mfanyakazi mwenzetu alikuwa anafunga ndoa