Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Ila kama una HELSB wanaukata mpaka unafurahiHiz post za TA tamu sn alf mshahr upo vzr
We acha tu kakaTuanze kuandaa shuhuda za mabadiliko sasa [emoji1787][emoji1787]
Mpaka unajiuliza hiyo HESLB imetumwa??😂😂Ila kama una HELSB wanaukata mpaka unafurahi
😂😂😂😂Yani nilivyoona wanasema inabadilika nikasema leo siangalii aseeh maana nilivyoanza kumfokea boss afu nikute not selected 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we si unachekia kwenye app , bhana,,leo ni siku ya mabadiliko ndoige [emoji1787][emoji1787]wizy
Hapo uwe na marupu rupu kidgo hutoona uchungu wake kama ndo taasisi dume ni mwendo wa maumivu mpk mkopo uisheMpaka unajiuliza hiyo HESLB imetumwa??😂😂
[emoji16][emoji16][emoji16] post zote 2 imeandika SELECTED FOR ORAL INTERVIEW NO....Baba jeni bye bye[emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka 10+ ndo mkopo uisheee🤣🤣🤣Hapo uwe na marupu rupu kidgo hutoona uchungu wake kama ndo taasisi dume ni mwendo wa maumivu mpk mkopo uishe
Hamna kitu kama hichoHalafu kuna tetesu kuwa zile post za Heslb wanaohitajika ni 8 kutok kwenye vyanzo vyngu vy kuaminika
wafuateAlaf kwanini hizi placement za zamani hawazitoi kwenye website. Advertisement na call for interview hutolewa kila siku lakini hizi placement za tangu July bado zipo tu. Yaani wengine tukiziona tunaumia roho tu
lolote linaweza kutokeaAlaf kwanini hizi placement za zamani hawazitoi kwenye website. Advertisement na call for interview hutolewa kila siku lakini hizi placement za tangu July bado zipo tu. Yaani wengine tukiziona tunaumia ro
😂😂😂😂Kitaalamu pdf inatoka sio muda kaka[emoji16][emoji16][emoji16] post zote 2 imeandika SELECTED FOR ORAL INTERVIEW NO....
Hapa kitaalamu imekaaje wizy
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hatari na nusu duhMiaka 10+ ndo mkopo uisheee🤣🤣🤣
Halafu kuna tetesu kuwa zile post za Heslb wanaohitajika ni 8 kutok kwenye vyanzo vyngu vy kuaminika
Hilo jambo ni vigumu kutokea, kwani kutakua na harufu ya kuwekana katka nafasi hizo.Halafu kuna tetesu kuwa zile post za Heslb wanaohitajika ni 8 kutok kwenye vyanzo vyngu vy kuaminika
Balaa tupu, mpaka unahisi ulikosea kuomba mkopoHapo uwe na marupu rupu kidgo hutoona uchungu wake kama ndo taasisi dume ni mwendo wa maumivu mpk mkopo uishe
Acha tuone,😂😂wafuate
lolote linaweza kutokea
😂😂😂😂Boom tamu lakini kulipa sasaBalaa tupu, mpaka unahisi ulikosea kuomba mkopo
Noma Mtu akikutajia mshahara wake utaona jamaaa ana Hela kumbe wakianza kukata kata mahela inabaki Hela ya kawaida tu noma na makato hayaishi mamaeeee dahHatari na nusu duh
Kama wadau humu wanadai ni TA ni between 1.9M-1.5M ila take home ni 780K-960KN
Noma Mtu akikutajia mshahara wake utaona jamaaa ana Hela kumbe wakianza kukata kata mahela inabaki Hela ya kawaida tu noma na makato hayaishi mamaeeee dah
😂😂😂😂Hahhhh na wanaolipwa 1.3m watatoka na 500k sasaKama wadau humu wanadai ni TA ni between 1.9M-1.5M ila take home ni 780K-960K