mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
watatu 3 mkuuWanahitajika watu wangapi kwenye hiyo nafasi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wewe utaanza kulamba kabla yanguSisi wapambe tumefurahi maana hatutasahaulika kwenye ufalme wa kunyonya Asali[emoji3][emoji3]
asante sana wizyMaswali yenu sio magumu sana nafikiri soma vifaa vya kazi na challenge zenu kazini na ujue jinsi yakuzitatua pia ,pitiq na duties vizuri ujue zinafanyika vipi
sio usiku,babati - dom sio mbaliutasafiri usiku?
niacheee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda pm sasa unachelewa nini
Hebu fanya upitie pm sasasio usiku,babati - dom sio mbali
Hongera mzee umejitahidi sana tungoje zinazokuja tenaNot selected for oral interview.
Hakuna kitu nachukia kama kufeli, ila Naamini Mungu yupo na Mimi..
Cutt of imeanzia 91..
Nimepata 89.5.
Nawapongeza wenzangu waliofanikiwa kuendelea na usaili.
πππPitia pm upate madini ya oral au hutaki kazi?hahhhhniacheee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pamoja kkHongera mzee umejitahidi sana tungoje zinazokuja tena
unataka kunipeleka na subaruHebu fanya upitie pm sasa
ππππnna Volkswagen" asaivi inakata upepo kinomaunataka kunipeleka na subaru
Wewe mwenyewe mzeeAisee tuwaombee wadogo zetu na majobless wote wapate mrija wa asali...mimi mdogo wangu tangu 2019 anafanyaga interview ila ndio hivyo bahati haiwi upande wake ....namuonea huruma na kama familia tunamsapot ....ngoja tusubiri maana juzi kati kafanya interview hizi za LGA NA MDA kama auditor amefanya oral na nilikuja kumuulizia hints humu za kujibu oral nashukuru wadau walinijibu nikampa nondo hope this time mambo yatakuwa mazuri upande wake ...nitaleta mrejesho
Stay strong, kada ganiNot selected for oral interview.
Hakuna kitu nachukia kama kufeli, ila Naamini Mungu yupo na Mimi..
Cutt of imeanzia 91..
Nimepata 89.5.
Nawapongeza wenzangu waliofanikiwa kuendelea na usaili.
AmenLatra wamenipiga na kitu kizito..Mungu ajaalie kwa yeyote aliyeitwa Oral humu jukwaani..afanikishe.
Mifugo kkStay strong, kada gani
Mifugo kk
Mungu ni mwema dear Akakupiganie this time,,,ukitoka tukutsne makulu tupate walau pepsi baridiasanteni kwakunipa moyo,nimeingia oral