Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Not selected for oral interview.
Hakuna kitu nachukia kama kufeli, ila Naamini Mungu yupo na Mimi..
Cutt of imeanzia 91..
Nimepata 89.5.
Nawapongeza wenzangu waliofanikiwa kuendelea na usaili.
Hilo jina lako tu linanikumbusha majanga ya vijana katika kusala utelezi.

Usijali kuna next time muda utafika
 
Mdgo wako au ni
Wewe mwenyewe mzee
Sio mimi kiongozi na hata ukifatilia nyuzi zangu mimi ni muajiriwa since July 2015 mdogo wangu anaenifata ndio hata nilimuulizia swali humu kuhusu kuingia oral maana ndio ilikuwaga oral yake ya kwanza na mimi interview nazofanyaga ni za TRA tu maana nimesoma taxation ifm ....na bahati nzuri ajira niliyopataga haikuwa na interview nilipata kama mhudumu wa afya baada ya kuona tax imekuwa ngumu kiajira nilisoma coz ya afya 1 year nikapata kazi moja kwa moja kwenye halmashaur na ikaja shida kwenye kubadilisha kada na ndio maana huwa nafanya interview za tra nikiwa nimepitisha barua kwa mwajiri ....lakini mungu sio athumani nilishauriwa coz ya tax haipo kwenye halmashaur nikashauriwa nisome CPA nikaanzia foundation level na sasa nipo level ya intermediate hivyo nilibadilishiwa cheo kwa kutumia cheti cha foundation kama msaidizi wa hesabu na nikimaliza CPA nitakuwa mhasibu rasmi....karibu halmashaur ya geita....huyo ninaemuuliziaga ni mdogo wangu ni CPA Holder na ninaishi nae kwangu hivyo waliitwa oral moja kwa moja za LGA NA MDA ...Hope nimekujibu kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…