Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848]Mimi ni dada jamani[emoji23]
Eeeh nisamehe mkuu kwa kukupa jinsia tofauti... ila umeeleza vizuri sana.. bila shaka upo kwenye mrija tayari??Mimi ni dada jamani[emoji23]
Nimetoka Duce asubuhi, nilikuwa napambania mrija ila mambo bado yanaenda kombo aiseeUsharudi mjini au upo Dom tena kusaka tonge jingine
Hapana, nyaraka zote ziko certified ila wanasema sijaweka leseni ilihali sijaona popote wanapoihitaji.Ndo walikukataa kwakuwa hukwenda kwa Hakimu kucertify boss..?
Tangu uanze kukomenti humu nilijua ni Me.Mimi ni dada jamani[emoji23]
Wale walioenda leo dodoma kufanya usaili wa BAKITA ...msanifu lugha na mchunguzi lugha walitoa maswali gani na mangapi?Wale wa MDA na LGA's lini Sasa? Naona status Bado Received.
Duuh mimi mwenyewe nilijua Me,,,Mimi ni dada jamani[emoji23]
Duuh hakuna kufa moyo mapambano bado yaendeleeeeNimetoka Duce asubuhi, nilikuwa napambania mrija ila mambo bado yanaenda kombo aisee
Daah nimeonekana mdebwedo zaidi ya Mandonga, imagine Class mates wangu tuliopiga written juzi Dom, nimeambiwa karibia wote walifika oral, ila mimi nilitoka kapa.Duuh hakuna kufa moyo mapambano bado yaendeleeee
Maandalizi tu man hakuna kingine,,,,Tukijiandaa vizuri kila kitu kinakuwa sawa,,,wapo watu wanafululiza hata mara nne written tu out ila hawafi moyo wanajipanga upya pia naamini inamjenga mtu vizuri kujua wapi huwa anakoseaDaah nimeonekana mdebwedo zaidi ya Mandonga, imagine Class mates wangu tuliopiga written juzi Dom, nimeambiwa karibia wote walifika oral, ila mimi nilitoka kapa.
Na leo tena walikuja, tena wameongezeka wengine ambao walikuwa vipanga darasani, hawajaishia hapo wengine washasoma hadi Masters, ila nikawa kumbe kusoma Masters sio tiketi ya kuwa na Connection, mtu una Masters unapambania mshahara wa mwenye degree 1.
Any way hali ya kitaa ndio inayotufikisha huku
Kweli mkuu, hapa nimefanyishwa revision kwa kiasi chache.Maandalizi tu man hakuna kingine,,,,Tukijiandaa vizuri kila kitu kinakuwa sawa,,,wapo watu wanafululiza hata mara nne written tu out ila hawafi moyo wanajipanga upya pia naamini inamjenga mtu vizuri kujua wapi huwa anakosea
usife moyo,wakati wa mungu niwakati sahihiDaah nimeonekana mdebwedo zaidi ya Mandonga, imagine Class mates wangu tuliopiga written juzi Dom, nimeambiwa karibia wote walifika oral, ila mimi nilitoka kapa.
Na leo tena walikuja, tena wameongezeka wengine ambao walikuwa vipanga darasani, hawajaishia hapo wengine washasoma hadi Masters, ila nikawa kumbe kusoma Masters sio tiketi ya kuwa na Connection, mtu una Masters unapambania mshahara wa mwenye degree 1.
Any way hali ya kitaa ndio inayotufikisha huku
Yeah uko sahihiMaandalizi tu man hakuna kingine,,,,Tukijiandaa vizuri kila kitu kinakuwa sawa,,,wapo watu wanafululiza hata mara nne written tu out ila hawafi moyo wanajipanga upya pia naamini inamjenga mtu vizuri kujua wapi huwa anakosea
Wabembeleze bhana watupe placement huko 😂Yeah uko sahihi
Mimi niliitwa kada ya Tutorial Assistant mara 2Kweli mkuu, hapa nimefanyishwa revision kwa kiasi chache.
Nikiitwa tena written kama 2 hivi nitaweza kumaliza madesa ya semister zote
Kupambania mrija wa Asali haijawahi kuwa rahisi, hasa kwa kipindi hiki ambapo system ishaharibiwa na kusababisha uwingi wa Jobless mtaani.usife moyo,wakati wa mungu niwakati sahihi
Changamoto zinatufanya tuwe strong, hapo huenda ulipiga madesa yakawa yanaingia kuliko wakati wowote ule[emoji3][emoji3]Mimi niliitwa kada ya Tutorial Assistant mara 2
nimepiga madesa yote ya semister 6..
yaan now hata ikijaaa UE siwez kosa B plain au Plus.. n kukaa kwang kitaaaa
Kaka juma tano naingia kwenye mchujo (written interview) , tunafanyia DUCE kada Tutorial Assistant kiswahili ISIMU...nipe madini kaka, sijawai fanya mtihani wa tutorial assistant je format inakuwaje manaa utumishi hawaeleweki,Mimi niliitwa kada ya Tutorial Assistant mara 2
nimepiga madesa yote ya semister 6..
yaan now hata ikijaaa UE siwez kosa B plain au Plus.. n kukaa kwang kitaaaa
aisee ningeweza mbona tayari ningeshakuwa nakula maishaWabembeleze bhana watupe placement huko [emoji23]