Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kweli kabisa ukiacha swali bila kujibu nafikiri unajipunguzia nafasi
Hivi imagine mtu umeinterview watu toka asubuhi then mtu akudanganye with full confidence na unaweza akakuchallenge ila wewe umekazania points zako yaani kukukata hawazi hata kidogo.

Lakini kuna swali kila msailiwa anaenda OP then mwamba mmoja atoe dislaimer kua hajui but atoe fikra zake tu unafikiri nani atapata nafasi.
 
Kweli aseeh nimekuelewa na wale jamaa huwa wanachoka Kweli Kweli ,maana kuanzia asubuhi mpka jioni ,nikiongea kiingereza afu wakutane na kiingereza chakupanda na kushuka hahhhhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fairness inakuwaje hapo kwa msailiwa wa kwnza na wa mwisho?
 
Kweli aseeh nimekuelewa na wale jamaa huwa wanachoka Kweli Kweli ,maana kuanzia asubuhi mpka jioni ,nikiongea kiingereza afu wakutane na kiingereza chakupanda na kushuka hahhhhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawatasema huyu jamaa hajui ila wataongezea huyu mwamba ni muongo sana
 
Kua prepared sana ukiwa mwisho kua nondo zaidi ya wale wa mwanzo la sivyo kama hauna tofauti kubwa sana chance yako ni ndogo sana maana washachoka.

Always jiandikishe uwe katika watu wa mwanzoni kuingia kama inawezekana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ukienda mwishoni wakiona unayumba hawachelewi kukupiga chini
 
Kabisa maana hapo tayari washaona nani mwamba na nani ana afadhali sasa wewe unatakiwa usifananie na nani mwenye afadhali. Haya mambo ni kumuomba Mungu tu wakuangalie kwa jicho la huruma ingawa kua mwishoni ni risky sana
 
aseeh mimi mwishoni siwezi kujiandikisha risk ni kubwa sana pale
 
Halafu ubaya wa Utumishi hata ukae mwisho haikusaidii chochote zaidi ya kukutia hofu tu maana hakuna namna yoyote utwasiliana na mwenzio au kujua nini wameulizwa
Pale naonaga kukaa mwisho nitapanic bure tu ni heri niwe katikati sema ile mbinu yakuchukua simu aseeh waliwaza pakubwa sana isingekuwa hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pale walicheza sana kuna dada nakumbuka alitoka chumba cha interview ameloa jasho balaa. Sasa baadae wakati tumepewa simu nikamcheki anadai hata hakutuona hali ya kua anakabidhiwa simu na vyeti mbele ya macho yetu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Pale ukishakandwa kwenye oral akili huwa kama inaruka hivi kila mtu unaona kama anakuchewesha kuondoka hahhhh
 
Fanya hivi kama hujui swali hasa katika Oral toa disclaimer kua sijui halafu waambie I can give my thoughts to the specific question. Halafu tiririka hayo unayofikiria.

Kutokujua sio dhambi, dhambi ni kudanganya huku ukiwa unajiamini
Sure Bora useme ukweli kuliko kudanganya na macho makavu. Watajua hili jizi na liongo.
Hata hivyo oral kama ni fani yako hawawezi uliza swali gumu ambalo hulijui kabisa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kaka hujawahi kukutana na oral iliyopinda aseeh Kuna swali unaulizwa Yani umelielewa linataka nini lakini majibu hauna ,hasa post zile za technical na afya huwa zipo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…