Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Sawa kkHyo ratio ni rafiki kwako mkuu 1:3. Pambana naamin unaenda kuchukua kazi hyo.
Pitia vizuri duties and responsibilities za kazi uliyoomba.
Challenges za hyo kazi
Namna ya kutatua hzo changamoto
Lile jua mchana na baridi asubuhi la asharose migiro limetugonga kutoka asbh tumekuja kuingia kikaangoni kuanzia saa6, wakandaji wakafanya yao with mention points. Hii kitu inakata pumzi nilikuwa nasikia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh zile point tano huwa zinakata pumzi kinoma lakini chamuhimu ujibu hata ziwe tatu au mbili lakini usikae kimya jitahidi kujibu unachoelewa
Duuuuh ilikuajeAchana na hyo uliza watu waliofanya TGDC asee wale jamaa hapanaaaa
😂😂😂😂 Mention inakata pumzi acha Kaka Bora wakwambie eleza tuLile jua mchana na baridi asubuhi la asharose migiro limetugonga kutoka asbh tumekuja kuingia kikaangoni kuanzia saa6, wakandaji wakafanya yao with mention points. Hii kitu inakata pumzi nilikuwa nasikia tu
UTUMISHI SHIKAMOO!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hivi imagine mtu umeinterview watu toka asubuhi then mtu akudanganye with full confidence na unaweza akakuchallenge ila wewe umekazania points zako yaani kukukata hawazi hata kidogo.
Lakini kuna swali kila msailiwa anaenda OP then mwamba mmoja atoe dislaimer kua hajui but atoe fikra zake tu unafikiri nani atapata nafasi.
True kabisa na wao ni binadamu piaMkuu nakuunga mkono sana, hata hivyo naamini wanaosimamia sahili kupata au kutokupa alama ni zaidi ya kujibu kwa usahihi.
Na wao ni binadamu wana mioyo na wanahisia, kuna muda kadiri anavyokuona uko honesty na ni mnyeyekevu kwenye majibu yako inawezekana akajisikia kukupa alama hata kama maelezo yako yana makosa.
Yes kweli kabisa yani pale hutakiwi kuwa mjuaji inatakiwa uwe humble sanaMkuu nakuunga mkono sana, hata hivyo naamini wanaosimamia sahili kupata au kutokupa alama ni zaidi ya kujibu kwa usahihi.
Na wao ni binadamu wana mioyo na wanahisia, kuna muda kadiri anavyokuona uko honesty na ni mnyeyekevu kwenye majibu yako inawezekana akajisikia kukupa alama hata kama maelezo yako yana makosa.
Hii ni changamoto kubwa sanaaa aisee, wanakatisha tamaa kwa namna fulani.i
imagine una 59 -wenyewe wanachukua kuanzia 60 instead of 50 wakuu.utumish huruma hawana but always next time
Hongera sana mkuu, ulikuwa kada gani ?asanteni kwakunipa moyo,nimeingia oral
Ile noma aisee, kuna wakat unajiulizaa asa hadi hili wanataka ni mention daah😂😂😂😂 Mention inakata pumzi acha Kaka Bora wakwambie eleza tu
Hahhhh afu wapo serious kinoma😂😂😂Ile noma aisee, kuna wakat unajiulizaa asa hadi hili wanataka ni mention daah
Hapo walikuwa wanavuta muda makusudi ili waweze kukupata wewe sasa. Maana wangefanya asubuhi mapema wanajua ulikuwa umemeza sanaa.[emoji4][emoji4][emoji4]Lile jua mchana na baridi asubuhi la asharose migiro limetugonga kutoka asbh tumekuja kuingia kikaangoni kuanzia saa6, wakandaji wakafanya yao with mention points. Hii kitu inakata pumzi nilikuwa nasikia tu
UTUMISHI SHIKAMOO!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
wajenge mjengo wao uwe na mazingira safi ya watu kukaa kwenye good waiting area. Ùnawaita watu 300 Kwenye usaili halafu hawana sehemu ya kukaa.Lile eneo la Asha Rose Migiro si rafiki sana ku-accomodate idadi ya watu kama niliyoiona leo. Utumishi wajitahidi kuboresha kidogo, mahali pa watu kukaa na kusubiria hapako vizuri, ukija upande wa kwenye maliwato napo ni changamoto, bado kwenye upande wa mgahawa chakula bei juu lakini ubora wa kawaida..Yaani tabu tupu.. Wajitahidi kuboresha kidogo, ni kweli watu tunasaka ajira lakini isionekana kana kwamba ni adhabu kwetu.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hapo jiandae kutoa points zako 5 5 kwa Kila swali na kuna swali moja unaweza ambiwa elezea 5 points za nnn utajua swali utakalo kutananalo ,, yaani inaboa Sanaa unapigwa swali unaanza kujitafuta majibu ya point 5 wakt unajua point moja tu ,,yaani wanajua kashindwa huyu mwamba... MUNGU awatangulie kweny majibu ya point 5 5 ndio formulaHyo ratio ni rafiki kwako mkuu 1:3. Pambana naamin unaenda kuchukua kazi hyo.
Pitia vizuri duties and responsibilities za kazi uliyoomba.
Challenges za hyo kazi
Namna ya kutatua hzo changamoto
Utajiongeza kujibu kwako mention zen brief explaination ila wakandaji wanataka point zao tano zitimieIle noma aisee, kuna wakat unajiulizaa asa hadi hili wanataka ni mention daah
Katika kuokoa muda wa kuwasahili watu ,ndio wanatumia mtindo wa kumention ,lkn point zake Sasa at least 5 points,,[emoji23][emoji23] Halaf Mr.jobless unajikuta unajua point moja moja au mbili mbili Kila swali,, Halaf nyingine ni zakutafuta ,wakiona tu unatafuta sana wanasema next qnsSawa kk, aliowafundisha utumishi kumention five points daah watatuua huku, wanakaza utaje kk mpk inanitia hofu ingawa nawajibu huvyohivyo. Hizi oral zimekaaje wazoefu!
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂Huu mtindo sio mzuri kabisa hahhhKatika kuokoa muda wa kuwasahili watu ,ndio wanatumia mtindo wa kumention ,lkn point zake Sasa at least 5 points,,[emoji23][emoji23] Halaf Mr.jobless unajikuta unajua point moja moja au mbili mbili Kila swali,, Halaf nyingine ni zakutafuta ,wakiona tu unatafuta sana wanasema next qns
Ni kweli kabisa.wajenge mjengo wao uwe na mazingira safi ya watu kukaa kwenye good waiting area. Ùnawaita watu 300 Kwenye usaili halafu hawana sehemu ya kukaa.
Wanunue basi hata vile viti vya plastic na waongeze vivuli viwe vingi pale. Mtu unakandwa na baridi then mchana unakandwa na jua. Pa kukaa hakuna.
Nkumbuka walinambia acha mbwembwe just mention daah😀😀 ukiangalia kma majibu yako yanahitaji nyama ili ueleweke vizurYes kweli kabisa yani pale hutakiwi kuwa mjuaji inatakiwa uwe humble sana