Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Kwaiyo hapo wanakagua vyeti au, maana wamescan na tumeacha copyVetting inafanya kazi yake...
Kama Taasisi ipo serious. Huwa mnachunguzwa (Background check)Kwaiyo hapo wanakagua vyeti au, maana wamescan na tumeacha copy
Kwaiyo Hadi ngwengwe tutapima??Kama Taasisi ipo serious. Huwa mnachunguzwa (Background check)
Mbili Mtachunguzwa Afya.
Tatu Mtachunguzwa uhalali wa Cheti
Kuna ka process... Mnawes anza kaz mwez wa 3 wakifanya masihara.
Kuna vipimo maalum watachek usiwaze kijana.Kwaiyo Hadi ngwengwe tutapima??
SawaNimesema hvyo kwa sababu watu hawataki kukubali kwamba status hazina maana....elewa vzr chati za nyuma kabla ya kublame
Yeah nimeona kule juu ulieleza kumbe,pole sana mamyHapana nlipoteza vitambulisho vyangu so uwa naenda na barua ya utambulisho ndo unapewa na mwenyekiti wa mtaa ama mtendaji
Sawa kila la kherNdio, ila natamani nikafanye tu
Unataka ujipime kama ww ni mwamba sio?Ndio, ila natamani nikafanye tu
Hahaaa hata siwaziKuna vipimo maalum watachek usiwaze kijana.
Yeah, nijipime kama hii nilipata Kwa bahati mbaya auUnataka ujipime kama ww ni mwamba sio?
Safi sana,it very very easy and good.Niliwahi hitaji hii huduma wakati fulani but sikuipata.Hello guys. Kwa wakazi wa Moshi/Arusha kuna usafiri private kwa watu wanne interested.
Bei ni Tshs elfu 65 tu Go and return.
Tutaondoka jumamosi tarehe 17/12/2022 saa moja asubuhi.
PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 17 hadi Dodoma mjini.
2. Usafiri kutoka Dodoma mjini hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani tarehe 18 saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).
3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini tutakapofikia.
4. Baada ya interview usafiri hadi Moshi stand. Siku ya tarehe 19 saa moja asubuhi.
✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
DM if interested.
N.B HUU NI MSIMU WA SIKUKUU, UNAWEZA UKAKWAMA EITHER KWENYE GARI ZA ABIRIA KWENDA AU KURUDI, AU NAULI KUPANDA KUPITA KIASI.
MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO MWISHO SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 16/12/2022 SAA SITA MCHANA
Hivi hizi Database inakuwaje? Kuna kijana kakosa Airport huko nafkir aliomba Security. Je katika database akipangiwa kazi atapata kama Security ktk taasisi nyingine au atawekwa ktk kada nyingine?Zipo nyingi chances zinakujaaa waliopo database mikono juuu
Life is trial and error be strong mkuu.Tukipata sawa,tukikosa tuendelee kuombaKuna hali inanitesa sana, hasa kwenye situation kama hii ya kusubiri kitu muhimu. Kuna bad thoughts Huwa zinakuja kichwani kwangu. Nahisi kama taarifa zangu zitapotea, au labda kuna taarifa zimekosewa kujazwa.
Katika psychology hii disorder inaitwa OCD. Najaribu kujitoa katika mawazo hayo lakini bado hayo mawazo huja kichwani.
Basi nateseka sanaa[emoji19]
Yaani kazi nishapataLife is trial and error be strong mkuu.Tukipata sawa,tukikosa tuendelee kuomba
Ungefafanua taarifa zako zipi unahisi zimekosewa?Kuna hali inanitesa sana, hasa kwenye situation kama hii ya kusubiri kitu muhimu. Kuna bad thoughts Huwa zinakuja kichwani kwangu. Nahisi kama taarifa zangu zitapotea, au labda kuna taarifa zimekosewa kujazwa.
Katika psychology hii disorder inaitwa OCD. Najaribu kujitoa katika mawazo hayo lakini bado hayo mawazo huja kichwani.
Basi nateseka sanaa😒
Sijui kama Kuna taarifa imekosewa au ipo sahihi. Ni fikra mbaya tu Huwa zinakujaUngefafanua taarifa zako zipi unahisi zimekosewa?
Kaka relax, mrija is waiting for you mwendo umeumaliza, Mchawi ni usaili tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakuwa huna usaili relax kaka stil on prgress hiyo ni yako tu. Tuombeane uzimaSijui kama Kuna taarifa imekosewa au ipo sahihi. Ni fikra mbaya tu Huwa zinakuja
Usiquestion baraka za Mungu.Yeah, nijipime kama hii nilipata Kwa bahati mbaya au
Sawa kaka, na iwe hivyo Kwa woteKaka relax, mrija is waiting for you mwendo umeumaliza, Mchawi ni usaili tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakuwa huna usaili relax kaka stil on prgress hiyo ni yako tu. Tuombeane uzima
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app