Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sijui wengine tutesekeje mbao hatujapata placement na hatujui kama tumetusua au la.

Wewe ambaye umebakisha hatua ya kuitwa, uko kwenye tension.

Wewe relax na chora ramani ya kuila Asali, tensio tuachie sisi
Mwifwa hutakiwi kuwaza, ushavuta mrija wewe
 
Kwan vyeti Ahmet ameviacha ofisi kwa ukaguzi au unafanyikaje huo ukaguzi au ndio kuweka namba ya cheti Cha f4
Unatoa copy mbili mbili za vyeti vyote na kuziacha hapo ofisini, then taarifa zinajazwa Kwenye
template (excel) kama namba ya nida, namba ya account ya bank, namba za simu na namba za mitihani. Watascan na vyeti vyako OG na hapo mchakato unakuwa umeisha.

Vyeti og utaondoka navyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…