Nahisi itakuwa Ile passMark Yao,,, si wanasema wanaanza na 70...?Hao ndio wanakandwa vibaya sana.
Re-advertised nyingi ni teaching kada
Sahihi mkuuNahisi itakuwa Ile passMark Yao,,, si wanasema wanaanza na 70...?
Hii ni kubwa
Kutokana na makato ya namna hii, take home inabaki kuwa ya ugali tu, kuhusu maendeleo lazima tujiongeze kwa namna nyingine
HESLB sio 9%?Hii ndio bongo aisee.
Ila mwendazake aliweka panga kali sana HESLB, 15% ni nyingi sana.
Usipopata mrija wenye marupurupu ni majanga sana
Kupata mkopo ni Raha sana , ila baadae hubadilika na kuwa mjukuuu
Nakumbuka pale cive wali kuwa wanatafuta network administrator wa Kwanza alipiga 93 ivi .Nahisi itakuwa Ile passMark Yao,,, si wanasema wanaanza na 70...?
Hii ni kubwa
Ni 15% kila mwezi
Doh!! Aisee sio poa.Ni 15% kila mwezi
Hiyo 6% iliyotolewa ni ile ambayo ilikua inaongezeka kila mwaka kama ongezeko la thamani
Sina kumbukumbu aisee.
Ni 15%, retention ndio ilitolewa.Sina kumbukumbu aisee.
Sawa mkuu bado majanga ingawa deni halitakuwa linaongezeka kila mara kama ilivyokuwa wakati rentetion ipo.Ni 15%, retention ndio ilitolewa.
Nadhani Sasa watalipua zote za Mwaka 2022...Itakuwa bandika Bandua Placement.Ila siku nyingi zimepita toka placement ya mwisho
Hahahahaa.Another day of saying jumanne haiishi bila placement
Dadeki watoe matokeo ya TRAHahahahaa.
Mzee wa flash bado yupo Moshi, tusubiri kwanza arudi January
Tangu tarehe 12/12/2022 aiseeIla siku nyingi zimepita toka placement ya mwisho
Hayo hadi January labda watu wa Prac yanaweza kuanza kutoka leoDadeki watoe matokeo ya TRA
Dadeki watoe matokeo ya TRA
Yes nasubiria ya pracHayo hadi January labda watu wa Prac yanaweza kuanza kutoka leo